Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Hebu pitia na hii source please kabla ya kuchangia

Revenue mobilization for the financial year 2023/2024 grew by a notable 11.1% up from 6.4 % in the previous financial year, after KRA collected Kshs. 2.407 Trillion compared to Kshs. 2.166 Trillion in the previous financial year. This translates to a performance rate of 95.5% against the target.

The year under review was characterized by multiple economic shocks that included depreciation of the Kenya Shilling against the US Dollar, rising bank lending rates and international conflicts that disrupted supply chains, among others. These factors affected revenue mobilization efforts.

Tunajadili performance ya 2024 Kwa first kota.Huko kwingine ni zilipendwa.

By the way hata huko growth rate ya Mapato kwetu ilikuwa kubwa kuliko Kenya 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C85cFw2tnIh/?igsh=YWhram1xcGY4cjli

My Take
Ksh.2.4(45.6Tsh) less Ksh.1.4(27.6Tsh) equals to Tsh.18T.

Now Kwa trend ya Sasa ni more likely mtakusanya the same amount ya 45.6T wakati Tanzania tutafikisha 33.6 ambayo itapelekea difference ya 45.6-33.6=12T.

Haya Gap ya 18T-12T =6T.Mpaka hapo mbaenda kuumbuka hiyo mwaka 2027 kama mada yangu ilivyo.
 
Nadharia vs practical ,kazi inaendelea across sectors 👇 👇

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1882789368181702672?t=KsU5wNhsV7-nbXGtgmH1iw&s=19

Uwage na akili ,unaleta stori za Libya yenye watu chini ya Mil.2 at ysame time ni Nchi namba 2 Kwa Mafuta Afrika? Are you insane?

Tanzania ya Samia haiboi Wala haipoi 👇👇

View: https://youtu.be/S3a5NcLkAy4?feature=shared

Hivi wewe una akili kweli ? Kwahio wewe unaona kwamba watu ni Hasara ? Kwa nchi yenye population density ndogo kama hii na ukubwa karibia sawa na Nigeria, yenye kila rasilimali mojawapo ikiwa maji unasema kwa Libya ilivyoweza kuwapa watu wake maji ni sababu ina mafuta ?!!!; Wewe si una maji yamekuzunguka, Hence urahisi wa kutumia hayo maji ? Na mvua hadi nyingine zinazidi unashindwa kutumia hio surplus kwa ajili au wakati wa scarcity ?

Na hao watu ulionao umekatazwa kutumia nguvu kazi zao ? Au unangoja kesho kukiwa na ombaomba wazee kutokana na kutokuwa pensionable kwa uzembe unaofanyika leo uje na ngonjera tena za kwamba tatizo letu tuna wazee wengi masikini ? (Mwendo wa kuwa Reactive badala ya Proactive)

Hivi hapa naongea na binadamu mwenye reasoning au bot inayocopy na kupaste na kuimba mapambio ?
 
Maji yanaingiza hela kama Mafuta?

Nchi gani Ina watu mil.2 na utajiri harafu wanaishi maisha ya hovyo,nitajie.

Huna akili,kuwa na watu wengi lakini hamna utajiri wa Rasilimali unaoeleweka ni kimbembe.
 
Hayo ni Mapato ya ndani ambayo hata Halmashauri za Jiji la Dar zinakusanya
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam haijafikia kuweza kukusanya mapato ya ndani Tsh bilioni 260 kwa mwaka kama Nairobi.
 
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam haijafikia kuweza kukusanya mapato ya ndani Tsh bilioni 260 kwa mwaka kama Nairobi.
Nimekwambia Halmashauri zinazounda Mkoa wa Dar, huko Kenya ni Kaunti ya Nairobi lakini Kwa Dar kama Mkoa wanakusanya zaidi ya hizo.
 
Mbona ndivyo ilivyo? Wewe sema ukuaji wa Uchumi Kwa Sasa Bado sio mkubwa sana kuwa na far reaching multiplayer effects ,ipo Kwa kiasi Cha wastani japo Huduma za Umma zimeimarika sana hasa Afya ,Elimu na maji.
Maji yapi hayo bwashee...maji yanatoka mara moja kwa mwezi,tena hiyo ni Dar je huko Mwanza
 
Ndio Tunawaachia nchi yao ni ya wote kufaulu ndani ya Nchi Ya Mabadiliko ya kila kituuuuuuu....

Yaani hakina cha Maana kabisa Mtaani na shuleni kwa mujibu wake yule mwanazuoni wa Africa
Mtu ambaye anaisifia elimu ya Tanzania ni mjinga namba moja. Kuna mwanafunzi ni kilaza Kijiji kizima kinalijua hilo eti kupata three ya 25🤣🤣 kwanza yeye mwenyewe kayakataa matokeo yake. Siasa kwenye elimu ni usenge
 
Ujamaa unakusumbua

Ujamaa na kujitegemea wa Nyerere - Naweza Kurogwa Azimio la Arusha, Naweza kurogwa kesho Ujamaa na Kujitengea naweza Kurogwa Kesho Mawazo yako tunayeheshimu na kuyaenzi Na kuyatekeleza. Check Matokeo hayaa
Screenshot_2025-01-24-15-42-33-34.png
 
Mtu ambaye anaisifia elimu ya Tanzania ni mjinga namba moja. Kuna mwanafunzi ni kilaza Kijiji kizima kinalijua hilo eti kupata three ya 25🤣🤣 kwanza yeye mwenyewe kayakataa matokeo yake. Siasa kwenye elimu ni usenge
Ujamaa wa Matusi unakusumbua

Ujamaa na kujitegemea wa Nyerere - Naweza Kurogwa Azimio la Arusha, Naweza kurogwa kesho Ujamaa na Kujitengea naweza Kurogwa Kesho Mawazo yako tunayeheshimu na kuyaenzi Na kuyatekeleza. Check Matokeo hayaa
Screenshot_2025-01-24-15-43-05-59.png
 
Mtu ambaye anaisifia elimu ya Tanzania ni mjinga namba moja. Kuna mwanafunzi ni kilaza Kijiji kizima kinalijua hilo eti kupata three ya 25🤣🤣 kwanza yeye mwenyewe kayakataa matokeo yake. Siasa kwenye elimu ni usenge
Ujamaa wa Usengenyaji unakusumbua

Ujamaa na kujitegemea wa Nyerere - Naweza Kurogwa Azimio la Arusha, Naweza kurogwa kesho Ujamaa na Kujitengea naweza Kurogwa Kesho Mawazo yako tunayeheshimu na kuyaenzi Na kuyatekeleza. Check Matokeo hayaa
Screenshot_2025-01-24-15-43-21-68.png
 
Inawezekana Wakenya wengi zaidi wamekimbilia kufungua kampuni na kufanya kazi nchi za nje, pesa kutoka nje kwa diaspora(remittances)kwenda nchini Kenya zimeongezeka sana kufikia $5billion(karibia Tsh trillioni 12) kwa mwaka. Tanzania hatujakaribia hata $bilion 1.
 
Pesa inahitajika maeneo mengine kuliko Sgr tuu.

Hatuwezi ku paralyse uchumi kama awamu ya 5 eti kwingine kusimame kisa Sgr na bwawa,hiyo haiwezi jirudia ni hasara Kwa ustawi na ukuaji wa Uchumi.

Sgr itajengwa kadiri ya hela zinavyopatikana no rash.
SGR ilipoanza the budget was provided ili imalizike kwa wakati without any cost escallations
Nyie Pimbi mmeongia madarakani ham juu usimamizi mzuri wa miradi gharama SHR na Bwawa la Nyerere have gone over the roof!! Unfortunately, Samia alivyokuwa mtupu anaangalia kumaliza tu hasngalii quality ya kazi, gharama na muda miradi inapokwisha!
Angalia tu huyo mradi wa Mwendokasi wanavyokimbizana nao being built at below standard mradi wakati wa uchaguzi uwe umekwisha ili bibi Achaguliwe hata kama hafai !!
 
Ulitaka nikuletee ishu gani? Kwani Serikali inagawa hela?
Hivyo visima anavyopiga picha Huyu mwanamke ni vya magumashi, propaganda tupu baada ya wiki moja vinakauka hakuna maji! Wananchi wanarudi kule kule wa liko toka. Ccm na serikali yao akili yao ni kuwaibia wananchi kwa kununua Land cruisers za bei mbaya huku watoto wanasoma kwenye shule duni!
 
Maji yanaingiza hela kama Mafuta?
Hivi wewe una akili kweli ? Pesa zinaliwa ?!!! Wewe maji unayo unayaangalia yet kuna watu maji hayatoki / Hawana access na maji!!; Kwahio Jangwani hata kama kuna mtu mmoja ni vigumu kupata maji (lakini watu wanayapata) wakati wewe ambae una ziwa unaliangalia hata bila kutumia gharama kila mtu angeweza kupata fresh water lakini haipo hivyo na unatembeza bakuli kuomba misaada ambayo majority ya pesa hizo zinapigwa (tafadhali jaribu kushirikisha ubongo wako katika comments zako)
Nchi gani Ina watu mil.2 na utajiri harafu wanaishi maisha ya hovyo,nitajie.
Hivi unajua Libya kabla ya na baada ya Gadaffi ipoje / ilikuwaje ?, Hivi unajua Gabon under Bongo, ilikuwa na mafuta kiasi gani na watu wafaransa walikuwa wanayachukua na kuacha umasikini kiasi gani ?

Pili Watu wenye busara kwao watu ni mtaji wala sio hasara ukizingatia kila mtu anayeconsume (consumption) pia anatoa Tozo hivyo makusanyo ni maradufu..., na kama taifa limeshindwa kutumia nguvu kazi yake hilo ni tatizo la taifa na sio individuals waliopo, vilevile population density Tanzania bado ni ndogo sana kulinganisha na eneo; i.e. watu sio wengi hivyo resources per unit bado zipo nyingi...,
Huna akili,kuwa na watu wengi lakini hamna utajiri wa Rasilimali unaoeleweka ni kimbembe.
Aisee unazidi kuonyesha ulimbukeni, Moja Tanzania haina rasilimali ?, Mbili watu sio Rasilimali ?; Na kama unaongelea Natural Resources Japan in Rasilimali kiasii gani na sehemu kama Sudan na Congo wana Rasilimali kiasi gani na hali ipoje sehemu hizo zote ? Mwisho kabisa nadhani mentality kama yako ndio inasababisha hata Serikali inakopa ili baadae ilipe RIBA kuendesha miradi ya ndani ambayo ingeweza kufanyika directly bila RIBA / Mkopo wowote, wala Makusanyo kabla bali after the fact....
 
Back
Top Bottom