Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Apr 25, 2019 #1 Wakuu! [emoji1538] Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!? Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.
Wakuu! [emoji1538] Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!? Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Apr 25, 2019 #2 katika orodha ya maeneo Salama ya kwenda, nimeona wametaja NALIENDELE JESHINI... Nadhani hii ndio sehemu Salama zaidi!
katika orodha ya maeneo Salama ya kwenda, nimeona wametaja NALIENDELE JESHINI... Nadhani hii ndio sehemu Salama zaidi!
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,195 Reaction score 2,056 Apr 25, 2019 #3 Doooh.!!
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 8,774 Reaction score 13,566 Apr 25, 2019 #4 Hahaahaaaaa