Bado tu wananzengo hamjasema ni Gharika la Biriani!?

Bado tu wananzengo hamjasema ni Gharika la Biriani!?

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9,758
Reaction score
18,431
Wakuu! [emoji1538]

Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!?

Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu

Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.
 
katika orodha ya maeneo Salama ya kwenda, nimeona wametaja NALIENDELE JESHINI... Nadhani hii ndio sehemu Salama zaidi!
 
Back
Top Bottom