kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Pamoja na kupigwa mkono wa nyani bado nina imani na wachezaji na benchi la ufundi. Kufungwa ni moja ya matokeo ya mchezo ingawa inauma kupigwa mkono wa nyani na yanga.
Tuendelee kuwaamini wachezaji na benchi zima la ufundi na mwenyekiti wetu. Kikosi chetu ni imara na kipana bado ubingwa wa CAF upo sisi sio wa makombe madogo madogo.
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app