Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 286
- 117
sawa dada asanteWarekodi halafu tumia Gwajima
AVN hua inachukua muda ila utapata tu wala usiwe na shaka lazima upateHellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali lakin customer care yao na jinsi wanavyojib wateja sio vizuri.
tatzo ni majib unayijibiw na nacte lugha chafAVN hua inachukua muda ila utapata tu wala usiwe na shaka lazima upate
Mkuu wewe kua mpole ila uzalendo ukikushinda gawa dozi mtie mtu ngumi ya pua ili heshima ifuate mkondo wake lakini kwa kua wanaokua kwenye hivyo wengi ni watu walioenda age najua huwezi mrushia ngumi mtu mwenye umri sawa na mama yako au baba yako maana wewe sio Paul Christian Makonda huwezi kumpiga makofi Mzee Wariobatatzo ni majib unayijibiw na nacte lugha chaf
siwez mpiga mkuuMkuu wewe kua mpole ila uzalendo ukikushinda gawa dozi mtie mtu ngumi ya pua ili heshima ifuate mkondo wake lakini kwa kua wanaokua kwenye hivyo wengi ni watu walioenda age najua huwezi mrushia ngumi mtu mwenye umri sawa na mama yako au baba yako maana wewe sio Paul Christian Makonda huwezi kumpiga makofi Mzee Warioba
Unataka uwe Daudi Albert Bashite aliemkunja Mzee Warioba na kumrukia Vichwa?siwez mpiga mkuu
NACTE wanamhujumu SA100 mwaka wa uchaguzi, ili akose kura za wanavyuo!!Hellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali lakin customer care yao na jinsi wanavyojib wateja sio vizuri.
Hio AVN number mtapata tu sio big deal hivyo though ukiwa na haraka nayo unakua na wenge sana ila mtapata tu sio issue kubwa hivyoNACTE wanamhujumu SA100 mwaka wa uchaguzi, ili akose kura za wanavyuo!!
heee?NACTE wanamhujumu SA100 mwaka wa uchaguzi, ili akose kura za wanavyuo!!
hujuma hizooooooooooooooooooheee?
AVN mm nlifatilia miaka 2 nlilipamara2hao jamaa, sio kabisa. Simu zao huwa haziokelewiHellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali lakin customer care yao na jinsi wanavyojib wateja sio vizuri.
miak 2?AVN mm nlifatilia miaka 2 nlilipamara2hao jamaa, sio kabisa. Simu zao huwa haziokelewi
zphujuma hizoooooooooooooooooo