Mkuu Kalamu . Hii sentensi nimecopy kutoka BBC website kuhusu chanzo cha kuhukumiwa kifo ''Sheikh Hasina was found guilty of allowing lethal force to be used against protesters, 1,400 of whom died during the unrest last year.'' Huyu wa kwetu ameua wengi zaidi. Nitashangaa mno kama atamaliza mwaka akiwa rais.Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!
Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?
Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?
Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni kujiweka moja kwa moja upande wa waovu.
Tanzania itakombolewa tu; hamna namna nyingine tena.
Nawashangaa sana hawa wanaoendelea na furaha za teuzi kana kwamba waTanzania waliouliwa walikuwa ni mende tu!Mkuu Kalamu . Hii sentensi nimecopy kutoka BBC website kuhusu chanzo cha kuhukumiwa kifo ''Sheikh Hasina was found guilty of allowing lethal force to be used against protesters, 1,400 of whom died during the unrest last year.'' Huyu wa kwetu ameua wengi zaidi. Nitashangaa mno kama atamaliza mwaka akiwa rais.
Hii hapa ya huyu Samia hatachukuwa muda. Anao muda mfupi sana.Haijalishi..kwani hata huyo mama huko aliendelea kama hakuna kitu
Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.Shikh Hasna, yule mama muuaji wa Bangladesh tayari kishapewa hukumu ya kifo!
Lakini sisi hapa ndio kwanza tunawatukuza na kushangilia wanao waua waTanzania?
Mtu utapata wapi nguvu za kushangilia uteuzi wa kutumika kwenye kundi la waovu?
Kukubali nafasi yoyote ya uteuzi katika haramu hii ni kujiweka moja kwa moja upande wa waovu.
Tanzania itakombolewa tu; hamna namna nyingine tena.
Wataeleweka tu.Kuwaelewa wabongo ni ngumu sana wako kama sigara kali hujui inawashiwa wapi
Hawa ndio wanaotaka kutupeleka tuwe kama Sudan au Somalia; na pengine hata Gaza!Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo tarehe 16 kutoka... surprise surprise... Dubai.