Bado una shaka kujua ligi gani bora Ulaya?

sijawahi kuona hispania wanapitisha timu nne kwa misimu zaidi ya 10......

Haya basi pamoja na kutopitisha tim zote hizo ni wao tu mabingwa kila mwaka...je hao mafreemason wako wamefika wapi? Wanaishia kutolewa tu every year....na mpaka sasa tim moja tu kutoka spain imebakia/Barcaz, na ndio atakaewachakaza...so nyie endeleeni tu kusifia idadi ya tim zenu zilizofuzu 😂😂😂
 
ushamba huu mwingine hadi aibu.ko za ingland za freemason za spain ni za Mungu,ficha upumbavu wako shamba huko
Ninyi watu mnashangaza sana, yani tim za freemason zikivuka hatua ya makundi mnaanza kelele zenu. Zikitolewa mnaanza kujiteyea na kusema ooh ligi ya spain wanabebwa. Lakini tushawazoea endeleeni tu na kelele zenu kamanda[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kuna emprovement kwenye soka la England,ukiachilia mbali ligi hata timu zipo vizuri.hasa miaka mitatu ilopita.Spain kupitisha timu 1 ni suala la kufikirisha na mpaka sasa ligi yao imepwaya sana.

suala la kupita hapo naona timu 3 zikivuka kuelekea nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spain haijawahi ingiza timu hata tatu hatua hii tofauti na mbili tu ilikuwa madrid/barca/atletico

si muwe wakweli


Ninani anayeshabikia Alaves humu ndani

Nikweli kamanda kwa miaka hii ya karibuni mmeingiza tim nyingi kuliko spain, lakini mbona mnashindwa kubeba kombe? Usiangalie wingi, maana hata mchanga ni mwingi vile vile kuliko hata almasi na dhahabu lakini hauna thamani yeyote.
 
Laliga itakuwa bora siku zote. English league is prominent league
 
Spain haijawahi ingiza timu hata tatu hatua hii tofauti na mbili tu ilikuwa madrid/barca/atletico

si muwe wakweli


Ninani anayeshabikia Alaves humu ndani
Mkuu kuna kipindi Spain walidomimate sana michuano ya UEFA hasa kipindi cha miaka minne mfululizo kwa kuingiza hatua ya nusu fainali timu zaidi ya moja. Achana na hatua ya robo kwasababu unaweza kuingiza timu nne kwenye robo fainali na kisha zote zisifuzu kuingia nusu fainali au ikaingia moja tu. Kipindi cha nyuma ndio Uingereza nao walitawala kidogo kwenye Champions league

Nchi zilizoingiza nusu fainali timu zaidi ya moja


2016/17: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2015/16: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2014/15: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)

2013/14: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2012/13: Germany 2 (Bayern München, Borussia Dortmund);

2011/12: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)

2010/11: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)

2008/09: England 3 (Arsenal, Chelsea, Manchester United)

2007/08: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)

2006/07: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)

2005/06: Spain 2 (Barcelona, Villarreal)

2004/05: England 2 (Chelsea, Liverpool)


2002/03: Italy 3 (AC Milan, Internazionale Milano, Juventus)

2001/02: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)

2000/01: Spain 2(Real Madrid, Valencia)

1999/2000: Spain 3 (Barcelona, Real Madrid, Valencia)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Kama,but kombe hili ni la Juventus basi viva Ronaldo,hala 6 balloon d'or

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…