Bado una shaka kujua ligi gani bora Ulaya?

Bado una shaka kujua ligi gani bora Ulaya?

Kiukweli kuna emprovement kwenye soka la England,ukiachilia mbali ligi hata timu zipo vizuri.hasa miaka mitatu ilopita.Spain kupitisha timu 1 ni suala la kufikirisha na mpaka sasa ligi yao imepwaya sana.

suala la kupita hapo naona timu 3 zikivuka kuelekea nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila Ronaldo huwaga hakunaga timu nyingi kutoka Spain,maana Ronaldo amepotoka real Madrid ndo ikatolewa,na pia atletico Madrid imetolewa na Ronaldo ko umeona mtu mmoja amezikost timu mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Epl ni manyumbu na kiboko yao ni timu za Spain! Tuangalie fainali ya uefa hakutakua na timu hata moja toka ligue ya manyumbu
 
Mkuu kuna kipindi Spain walidomimate sana michuano ya UEFA hasa kipindi cha miaka minne mfululizo kwa kuingiza hatua ya nusu fainali timu zaidi ya moja. Achana na hatua ya robo kwasababu unaweza kuingiza timu nne kwenye robo fainali na kisha zote zisifuzu kuingia nusu fainali au ikaingia moja tu. Kipindi cha nyuma ndio Uingereza nao walitawala kidogo kwenye Champions league

Nchi zilizoingiza nusu fainali timu zaidi ya moja


2016/17: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2015/16: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2014/15: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)

2013/14: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)

2012/13: Germany 2 (Bayern München, Borussia Dortmund);

2011/12: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)

2010/11: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)

2008/09: England 3 (Arsenal, Chelsea, Manchester United)

2007/08: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)

2006/07: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)

2005/06: Spain 2 (Barcelona, Villarreal)

2004/05: England 2 (Chelsea, Liverpool)


2002/03: Italy 3 (AC Milan, Internazionale Milano, Juventus)

2001/02: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)

2000/01: Spain 2(Real Madrid, Valencia)

1999/2000: Spain 3 (Barcelona, Real Madrid, Valencia)

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
 
Back
Top Bottom