Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Hakuna kama Ronaldo kwa hii U.E.F.A, mashindano close, Juventus champion.Tayari shkh wngu nishabadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kama Ronaldo kwa hii U.E.F.A, mashindano close, Juventus champion.Tayari shkh wngu nishabadili
Bila Ronaldo huwaga hakunaga timu nyingi kutoka Spain,maana Ronaldo amepotoka real Madrid ndo ikatolewa,na pia atletico Madrid imetolewa na Ronaldo ko umeona mtu mmoja amezikost timu mbiliKiukweli kuna emprovement kwenye soka la England,ukiachilia mbali ligi hata timu zipo vizuri.hasa miaka mitatu ilopita.Spain kupitisha timu 1 ni suala la kufikirisha na mpaka sasa ligi yao imepwaya sana.
suala la kupita hapo naona timu 3 zikivuka kuelekea nusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tumekusikia, Juventus anashindaNikweli kamanda kwa miaka hii ya karibuni mmeingiza tim nyingi kuliko spain, lakini mbona mnashindwa kubeba kombe? Usiangalie wingi, maana hata mchanga ni mwingi vile vile kuliko hata almasi na dhahabu lakini hauna thamani yeyote.
kweliBila Ronaldo huwaga hakunaga timu nyingi kutoka Spain,maana Ronaldo amepotoka real Madrid ndo ikatolewa,na pia atletico Madrid imetolewa na Ronaldo ko umeona mtu mmoja amezikost timu mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteMkuu kuna kipindi Spain walidomimate sana michuano ya UEFA hasa kipindi cha miaka minne mfululizo kwa kuingiza hatua ya nusu fainali timu zaidi ya moja. Achana na hatua ya robo kwasababu unaweza kuingiza timu nne kwenye robo fainali na kisha zote zisifuzu kuingia nusu fainali au ikaingia moja tu. Kipindi cha nyuma ndio Uingereza nao walitawala kidogo kwenye Champions league
Nchi zilizoingiza nusu fainali timu zaidi ya moja
2016/17: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)
2015/16: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)
2014/15: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)
2013/14: Spain 2 (Atlético Madrid, Real Madrid)
2012/13: Germany 2 (Bayern München, Borussia Dortmund);
2011/12: Spain 2(Barcelona, Real Madrid)
2010/11: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)
2008/09: England 3 (Arsenal, Chelsea, Manchester United)
2007/08: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)
2006/07: England 3(Chelsea, Liverpool, Manchester United)
2005/06: Spain 2 (Barcelona, Villarreal)
2004/05: England 2 (Chelsea, Liverpool)
2002/03: Italy 3 (AC Milan, Internazionale Milano, Juventus)
2001/02: Spain 2 (Barcelona, Real Madrid)
2000/01: Spain 2(Real Madrid, Valencia)
1999/2000: Spain 3 (Barcelona, Real Madrid, Valencia)
Sent using Jamii Forums mobile app