huonenda youtube,
Andika 'Sanura audio' na wimbo utauona chini ya Makondeko Group Musika tayari kwa kuenjoy.......mi nimeshindwa kuupandisha humu.
Aisee ni bonge la wimbo, jamaa alikuwa anajua sana bahati mbaya tu dunia haikuwa upande wake....
R.I.P Tongolanga.
Ahsante sana!
Usikilize mpaka mwisho zaidi ya mara moja ndugu, hautojuta. Utajua ni kiasi gani watu wamejaaliwa vipaji aisee!Ni wimbo gani huo?
Ameen!RIP FIELD MARSHALL
Yeah, alipita huko!Nilimuenjoy kidg alipokua bana mwambe
Hatari sana huyu jamaa. Namuona km mmoja ya wanamuziki aliyekuwa underrated sana!