Hapo ndio kuna mtihani. Amewekaweka tu vitu visivyo na uhalisia. Hiyo nyumba huwezi kunyanyua mpaka level ya paa kwa milioni 7 tu maana hiyo hela labda itaishia kwenye msingi tuMkuu, asante kwa kutupa muungozo huu wa bure, Ikikupendeza naomba utupatie pia mchanganuo wa idadi ya materials zilizo akisi gharama hizi.
Asante!
[emoji56][emoji56][emoji56] Nyumba za Njombe eti????Gharama ni kubwa Sana yaani kwa sisi wabana matumizi hadi kupaua haitakiwi kuzidi mil.8 sasa hiyo yako inaenda hadi mil.14
🙏🏾Mkuu.Mkuu, asante kwa kutupa muungozo huu wa bure, Ikikupendeza naomba utupatie pia mchanganuo wa idadi ya materials zilizo akisi gharama hizi.
Asante!
Ikiwaa gharama kubwa lakini ‘realistic/relevant’ sio shida. Shida ni inapowekwa gharama kubwa au ndogo lakini haireflect uhalisia inamaana inakua ni upotoshaji.Gharama ni kubwa Sana yaani kwa sisi wabana matumizi hadi kupaua haitakiwi kuzidi mil.8 sasa hiyo yako inaenda hadi mil.14
🙏🏾Boss ladyHuu mchanganuo uko bomba sana[emoji122][emoji122]
Uzuri jf kila moja anajuaMpaka sasa sijajua watu wanabishana nini.
Nipo real sana hapo boss, sijaweka kwa maamuzi yangu tu. Ila gharama hizo zimetokana na hesabu ya material husika.Hapo ndio kuna mtihani. Amewekaweka tu vitu visivyo na uhalisia. Hiyo nyumba huwezi kunyanyua mpaka level ya paa kwa milioni 7 tu maana hiyo hela labda itaishia kwenye msingi tu
Kuweni watu wa uhalisia ndugu zangu mambo ya uongo uongo yanaharibu credibility ya kampuni
Unanyanyua hadi kupaua kwa bei gani ?Hapo ndio kuna mtihani. Amewekaweka tu vitu visivyo na uhalisia. Hiyo nyumba huwezi kunyanyua mpaka level ya paa kwa milioni 7 tu maana hiyo hela labda itaishia kwenye msingi tu
Kuweni watu wa uhalisia ndugu zangu mambo ya uongo uongo yanaharibu credibility ya kampuni
Hizi gharama hubadilika sana kulingana na mhusika kaamua kufanya nn. Quality ya material na eneo unalonunua vinaleta tofauti kubwa kwenye gharama hasa za finishing. So ukitaka hivyo maana yake ifanyike relevant BOQUmezungumzia kusimamisha boma na kupaua bado finishing mkuu
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Watu wanabisha kwenye kunyanyua level ya kupaua kwa 7mMpaka sasa sijajua watu wanabishana nini.
Mimi nadhani mambo mengi huwa ni makadirio, inaweza kuzidi au kuongeza.Watu wanabisha kwenye kunyanyua level ya kupaua kwa 7m
Mkuu naweza kutumia roof plan alafu ukaniambia bati ngapi zinahitajika?Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi?
Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga...
inategegemea na msingi. msingi kwa sass unaenda mpaka kizi 8Nipo real sana hapo boss, sijaweka kwa maamuzi yangu tu. Ila gharama hizo zimetokana na hesabu ya material husika.
Tatizo mnakuja kuponda bila reference figures...
1. Hiyo bati ni migongo mipana gauge 28 nimetumia reference ya bei za sunshare (naamini ndio wengi wanaifaham kwa reference ya mdau humu jf).Ahsante kwa hamasa mkuu. Naomba ufafanuzi wa haya mambo mawili, naam yapo matatu.
1. Hiyo gharama ya bati umeweka ni bati za kampuni gani?
2. Pia mbao ni zile treated?
3. Kama gharama za maji na ufundi zitategemea na eneo, hali kadhalika tofali nazo zinatofautiana bei kati ya eneo moja na lingine kutokana na upatikanaji wa mchanga, maji na cement.
😁😁😁daahWeka Pia Gharama za:-
1. Grill
2.Alumimium Window
3.Plasta
4.Skimming/Gypsum board/PVC
5.Plumbing
6.Mashimo ya vyoo(Septic)
7.Rangi.
8.Wiring
9.Tiles
Hapo bati ni migongo mipana gauge 28 (reference price ni ya sunshare).Makadirio yapo pouwa maana mimi kuna ambayo nilifanyiwa bila kupaua gharama ilifika milioni 11...