Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

Naomba kuuliza kwenye hyo nyumba msing huchukua tofali ngap za nch 6 maana me nitaka kujengea msingi wa mawe...
 
Msingi wa nyumba ya aina gani hiyo iwe 7m.anazungumzia huyo, nyumba ya kawaida kama iyo pichani sawa kila kitu kinategemea na ukubwa wa vyumba na quality na quantity ya vifaa vya ujenzi. Uyoo kama anajenga horofa asikuchoshe temana nae
 
Mimi nadhani mambo mengi huwa ni makadirio, inaweza kuzidi au kuongeza.

Sasa inakuwaje watu wanataka exact figures.
Ni bora izidi kuliko kupungua...kuna mtu utamwambia hii mpaka kuisha ni 15m ataenda benk kuchukua mkopo wa 15m ila uhalisia mpaka inaisha may be ni 22m so uyu mtu atalazimika kuongezea 7m wakati huo huo anatakiwa aanze rejesha pesa ya watu.....so siku zote huwa tunasema ni bora estimates izidi ila sikwa kiwango kikubwa sana....pesa inayozidi inaweza tumika kama pesa ya dharula.....ingawa huwa tunapoandaa gharama za ujenzi huwa tunaweka contigency kwa maana pesa ya dharula hii sio tu kwa projects kubwa hata hizi project zetu za mtaani tunapswa fanya hivyo..
 
Kwa hesabu za mkuu, hapo idadi ya tofali kwa hyo bei ni tofali 30100
Cement mifuko 100
 
Boss sanasana naweza kukupa idadi ya material then gharama kwa kila material uangalie wewe kulingana na eneo ulilopo (hii inakua more relevant) utapata makisio ya uhakika zaidi
Mkuu kiu yangu ni kutaka kujua msingi huo unaweza kuchukua tofali ngapi hasa.
 
Ramani kali sana
Sema hapo kwenye choo cha public naondoa kimoja,kibaki kimoja.

Pili hiyo kordo,naziba isiingie hadi jikoni.Mtu akitaka kuingia jikoni apite dinning au azunguke nyuma kupitia varanda ya jikoni
 
Achana nae huyo, ni wale wazee wa kutisha wenzao na kukatisha tamaa watu wasijenge. Yeye anadhani kila nyumba hapa mjini imegharimu 7m kwenye msingi.

Watu wamejenga nyumba kwa 10m na imeisha na kuhamia na wanaishi na kuzaliana.
 
Jamani chumba cha kawaida cha kulala kinatakiwa kuwa na ukubwa gani ?
Mara nyingi ni 3×3 ,ila inategemea na mahitaji yako ,unatakiwa ufikirie kwanza chumba unataka kuweka nini mfano chumba cha watoto utahitaji kuweka kabati ya nguo na sehemu ya kuweka viatu,dressing table ,meza ya kusomea,vitanda 2 au kimoja? n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…