Bado unayo nafasi

Bado unayo nafasi

Aiseee[emoji134]
Mkuu unafika hatua ya kumkufuru Mungu namna hiyo??

Uzuri ni kwamba mawazo ya Mungu si kama mawazo ya binadamu.
Kwa hiyo usitake Mungu afanye vile unavyotaka wewe.

Yeye Anasema si mwanadamu hata aseme uongo..
Cha muhimu ni wewe kufuata kanuni na maagizo yake
Jibu hoja zangu usitake kunivisha gunia la unafiki.
Nimemkufuru Mungu wapi zaidi ya kuhitaji ufafanuzi wa yale anayopambwa kwayo? Hakuwezekani kuwepo na Mungu wa namna hiyo hata kwa sekunde moja
 
Jibu hoja zangu usitake kunivisha gunia la unafiki.
Nimemkufuru Mungu wapi zaidi ya kuhitaji ufafanuzi wa yale anayopambwa kwayo? Hakuwezekani kuwepo na Mungu wa namna hiyo hata kwa sekunde moja
Kwahiyo wewe ulijiumba?
 
Nataka unijibu "Ndiyo "au "hapana"
Kwanini unataka kunipangia jibu la kukupa?
Narudia tena kusema mimi sikuumbwa nilizaliwa.
Tangu nimekujibu na kukuuliza kama uliumbwa tofauti na sisi tuliozaliwa hujanibu ila naona unakazania nikupe jibu unalopenda wewe
 
Habari

Najua unapitishwa katika magumu,mazito na maumivu ni makali hayastahimiliki..
Lakini nakuomba mno usivunjike moyo.

Usiwaze kunywa sumu
Kunywa sumu si suluhisho,wapo watu wengi sana nyuma yako wanakutegemea.
Kunywa sumu hakutatatua Shida unazopitia.

Usiwaze kuacha kufanya
Inawezekana kabisa umeshajaribu mara nyingi kufanya lakini umejikuta umeishia kushindwa.
Usiache kujaribu tena..ipo siku utaweza.

Usiwaze kufunga biashara
Hata kama wateja hawaonekani na kila siku unaishia kupata hasara.
Ukiwatazama wenzio wanaofanya biashara Kama yako wanafanikiwa lakini kwako ni tofauti...Ipo siku utafanikiwa.

Usiende kwa mganga,usikubali kabisa shetani akakudanganya,Endelea kumuomba Mungu naye atatenda.

Bado lipo tumaini,bado unayo nafasi,Mungu analo kusudi na Wewe.
-Unayo nafasi ya kurekebisha makosa yako.
-Unayo nafasi ya kujipanga upya.
-Bado unayo nafasi ya kufanya vizuri zaidi.

Mungu amekuamini kwamba unaweza na Ndiyo maana bado Amekupa huo uzima.
Usikubali kuishia njiani,
Hakikisha unafanya zaidi ya ulivyofanya Jana.

Be blessed
Asante Dada kwa ujumbe mzuri.
 
Kwanini unataka kunipangia jibu la kukupa?
Narudia tena kusema mimi sikuumbwa nilizaliwa.
Tangu nimekujibu na kukuuliza kama uliumbwa tofauti na sisi tuliozaliwa hujanibu ila naona unakazania nikupe jibu unalopenda wewe
Nimeuliza wewe ni kiumbe??
Jibu Ndiyo au hapana..mbona rahisi Sana.
 
Back
Top Bottom