ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Zawadi nani kakupa, mimi nimeshtukia tu nipo duniani, hiyo zawadi umeileta wewe?zawadi ya uhai ni tunu tosha mengine parangana mwenyew dunian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zawadi nani kakupa, mimi nimeshtukia tu nipo duniani, hiyo zawadi umeileta wewe?zawadi ya uhai ni tunu tosha mengine parangana mwenyew dunian
Unadhani ungekuja Kama Mungu asingekuumba?Zawadi nani kakupa, mimi nimeshtukia tu nipo duniani, hiyo zawadi umeileta wewe?
Aliyeumbwa ni Adam tu, hawa alitengenezwa na sisi ni zao la kufanya ngono/mapenzi. Wewe Mungu alikuumba wapi?Unadhani ungekuja Kama Mungu asingekuumba?
Kwahiyo wewe hujaumbwa?Aliyeumbwa ni Adam tu, hawa alitengenezwa na sisi ni zao la kufanya ngono/mapenzi. Wewe Mungu alikuumba wapi?
Amen[emoji120]Sure bado ninayo nafasi and all of us we got it. It called tommorow
Sijaumbwa, nimepatikana baada ya baba na mama kuungana kimwili. Aliyeumbwa ni Adam tu.Kwahiyo wewe hujaumbwa?
Story nzima ya Bustsni ya Edeni ni lugha ya picha..Mungu aliumba primary being ambao ndio hao Adam and Co baadae akatupa uwezo wa kuendeleza uumbaji kwa njia ya uzazi. Technically ngono si ajili ya kupata raha ni kuendeleza uumbaji wa Mungu.
Kwahiyo wewe si kiumbe wa Mungu?Sijaumbwa, nimepatikana baada ya baba na mama kuungana kimwili. Aliyeumbwa ni Adam tu.
Kwahiyo unaamini kwamba Mungu hayupo?
Kila alichokiumba Mungu na tazama aliona chafaa.
Hayo yote uliyosema yanatokana na anguko la mwanadamu.
Go and read Genesis chapter three..Go through the whole chapter..
It's all about "The fall of man"
Mara nyingi mtu anapopoteza hope na kuona hana alternative nyingine ndio huwa anajikuta amepata msaada bila hata yeye kufahamu umetoka wapi!
Tatizo ni pale unapotaka Mungu afanye vile unavyotaka wewe.Hilo anguko la mwanadamu ndio kalizungumzia Mkuu kwenye hoja yake kuwa, Kama Mungu alijua kuwa Adam ataanguka na atakayeangushwa na Shetani..!?Kwanini aliruhusu hilo litokee kama yeye yu Mjuzi na mwenye upendo wa pekee kwa Kiumbe chake Adam??
Sikatai kuwa Mungu yupo, naamini mnoo na naamini sana yupo hata leo nimeshuhudia vile ameniwezesha kuamka mzima wa Afya.. Swali langu li juu ya Wema wake Mungu wetu..! Mbona yu mwema kwa baadhi ya watu na si kwa wote ?? Kuna watu wanapitia magumu sana na wakati mwingine unaweza sema si bora Mungu aichukue tu hiyo roho yake ??
Kuna Atheist mmoja aliweza kusema, “I do not question the existence of God, but his Goodness “ .... Mungu wetu anatupenda ndio ila ila uzuri kwa kila kiumbe chake ndio bado sijawahi kuuthibitisha kwa kweli.
Good morning babe @Sainte Anne
AminHuyu mwanamke anakuwaga Genius Sana aisee [emoji106]