William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti.
Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza kuvaa nguo karibu sawa na za kijeshi. Kuonesha ameshiba Imani za kikomunist Kama akina Fidel castor.
Baada ya kutangaza Nia ya Uraisi gafla Mwigulu anakuwa Bosi. Je alipata wapi fedha za kujaza watu ukumbini kutangaza Nia. Kulipia matangazo ya moja kwa moja live kwenye redio na tv kadhaa na Baadae anapata uwezo wa kuandikwa kila kona kwenye mawe na kuta.
Ikumbukwe mwaka 2014 tayari mwigulu alikuwa anazunguka na Elkopta kupigania chama nchi nzima bila chama kujua Hali iliyompelekea katibu mkuu kinana kumpiga stop
Je NI Nani aliyekuwa anafadhili Kampeni za Mwigulu?!. Je zilikuwa juhudi za wachina na Russia kuujenga ukomunist Tena.
Hakuishia hapo ata baada ya kukatwa aliendelea kuwa karibu na mshindi wa kura za maoni. Akiwa waziri wa kawaida tu, Mtu asiye na cheo kikubwa ndani ya chama. Anaacha Jimbo lake Anatumia Chopa kuzunguka yeye binafsi nchi nzima kumnadi Raisi Magufuli. Kitu ambacho ata katibu wa uenezi na katibu mkuu hawakuweza.
katika Hali ambayo wakomunist hawamuamini Sana mama hasa kwasababu NI nadra Sana kuwaamini wanawake. Wakiamini zaidi kwa viongozi wakali na wenye uwezo wa kutoyumbishwa na wananchi wao. Na Huku sauti za kutaka mama asigombee Tena 2025. je wakomunist wamemuandaa Tena Mwigulu 2025?
Sasa tayari vyombo vya habari viko bize kuonesha ziara zake mikoani. Ziara hizo nyingi NI za kisiasa na amekuwa alifanya mikutano ya hadhara na akizungumzia kila sakta Kama yeye NI Raisi au waziri mkuu. akionekana tayari Kuna kundi nyuma yake. Je kuna watu wanajambo lao na Mr mwiguru?