Bado Wakenya wanatafutiana Wanawake/Wanaume

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.

Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.

Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.

Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
 
Kumbe unaangalia vipindi vipo staged

Mkuu hakuna ukweli wowote mle,ni staged theater performances!

Arranged marriages zipo hadi huku kwetu TZ!
 
Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.

Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.

Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.

Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
Sema tu huna DStv mbona hata DStv bongo pia hicho kipindi kipo.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.

Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.

Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.

Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
Angalia DStv maisha magic bongo utakiona kipo Cha wabongo.

Back
Top Bottom