Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.
Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.
Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.
Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.