Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Mjibu tu. Kama mbwaimbwai. Kwani ukimpea mtawezana?Sijui nikujibu Nini,, maana naeza jibu Kwa ubaya wacha ninyamaze tu
Kumbe unaangalia vipindi vipo stagedJumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.
Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.
Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.
Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
Kumbe unaangalia vipindi vipo staged
Mkuu hakuna ukweli wowote mle,ni staged theater performances!
Arranged marriages zipo hadi huku kwetu TZ!
Sijui nikujibu Nini,, maana naeza jibu Kwa ubaya wacha ninyamaze tu
Sema tu huna DStv mbona hata DStv bongo pia hicho kipindi kipo.Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.
Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.
Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.
Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
Sema tu huna DStv mbona hata DStv bongo pia hicho kipindi kipo.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Angalia DStv maisha magic bongo utakiona kipo Cha wabongo.Jumapili hii, wakati nimetulia sehemu napata chakula Nashangaa kipindi kinaitwa Date My Family kinaendelea.
Nikajiuliza hivi Wakenya bado wanatafutiana wanawake dunia hii.
Nyie wakenya mmekosa vya kufanya wakati huu wakati Rushwa inawasumbua Usiku/Mchana.
Halafu kama wale ndio wanawake wenu wakali, aisee mna hasara sana.
Angalia DStv maisha magic bongo utakiona kipo Cha wabongo.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sijui Kama ni same huko, maana huku no channel 160.Channel namba ngapi
Siwezi nikajua maana I don't watch it ,Ila nikipitia hizo channels naonga waki advertise .Muda na siku gani
Date My Family sio kutafutiana wanawake!