Bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi waliokuwa kwenye Serikali ya Magufuli

Tatizo je, hao Sukuma Gang wanataka tume huru?

Sukuma Gang hawana lolote zuri na hili taifa, ndio maana kipindi wakiwa na madaraka walikataa tume huru ns katiba mpya, iweje leo ziwepo ili waingie madarakani?
 
Sabaya na genge lake
 
Wanarudi

Wanarudi kule kule hadi kudai katiba mpya wakati walikuwa wanaipinga. Nje ya ccm hakuna sukuma gang.
 
Nadhani hapa mko katika kilele cha furaha yenu.
Endeleeni kulamba asali.
 
Ukabila unaingia Tanzania pole pole, miaka ishirini ijayo wajukuu zangu watapiga kura kikabila. Tuache ukabila, tukianza hivi tuwaruhusu na wengine ukabila.

Halafu kwenye hayo mambo yenu ya ukabila wa kanda ziwa mkoa wa Mara utoeni kabisa.
 
Hatutaki viongozi wabaya wasiopata tuzo waje watutawale tena.
Mama tangu aingie madarakani 'kila siku analamba tuzo'...
Wale wengine tangu wameingia mpaka wametoka hawajawahi kupata hata medani ya shaba...

Baba wa Taifa aliwahi sema, ukiona mabeberu wanakuhengahenga sana. Inabidi ujiulize mara mbili mbili na kujichunguza ulipoteleza.

CC: polokwane Crimea
 
Tabia ya kutokupiga kura itaendelea kututafuna hadi pale tutakapoanza kupiga kura kwa kila raia mwenye vigezo kisheria
 
Ukabila unaingia Tanzania pole pole, miaka ishirini ijayo wajukuu zangu watapiga kura kikabila. Tuache ukabila, tukianza hivi tuwaruhusu na wengine ukabila.

Halafu kwenye hayo mambo yenu ya ukabila wa kanda ziwa mkoa wa Mara utoeni kabisa.
Nakuambia ukweli kwani Mimi ni msukuma Kuna chama fulani ni cha kikabili kidai ni upinzani ,Nan akipigie kura?
 
Wanarudi

Wanarudi kule kule hadi kudai katiba mpya wakati walikuwa wanaipinga. Nje ya ccm hakuna sukuma gang.
Sukuma Gang wala haihusiani na ukabila, Hii ni Ideology tu nadhani hata ningeweza kuwaita Hapa Kazi gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…