Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Tatizo je, hao Sukuma Gang wanataka tume huru?Habari za asubuhi Wana JF,
Mimi ni Mtanzania wa kawaida na kila siku nipo kwenye mizunguko yangu ya kawaida na wadau wangu wapiga debe, mamantilie, machinga, waosha magari na day workers na watumishi wa umma wote.
Kitu nime notice bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi walokuwa kwenye Serikali ya JPM, kila kinachofanyika sasahivi kinalinganishwa na awamu ilopita na mwisho inaonekana awamu ya Jpm kukubalika zaidi.
Tuwe tu wakweli wa nafsi zetu, Sukuma Gang ingekuwa Chama rasmi na kikapewa nafasi ya kumsimamisha mgombea Urais let's say Polepole, Bashungwa au Bashiru dhidi ya January Makamba, Ridhiwani Kikwete, Nape and or Mwigulu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi or kura za wazi, nani anatoboa?
View attachment 2443648
Sukuma Gang hawana lolote zuri na hili taifa, ndio maana kipindi wakiwa na madaraka walikataa tume huru ns katiba mpya, iweje leo ziwepo ili waingie madarakani?