Bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi waliokuwa kwenye Serikali ya Magufuli

Tatizo je, hao Sukuma Gang wanataka tume huru?

Sukuma Gang hawana lolote zuri na hili taifa, ndio maana kipindi wakiwa na madaraka walikataa tume huru ns katiba mpya, iweje leo ziwepo ili waingie madarakani?
Ila tuseme ukweli, Serikali kipindi Chao ili perform vizuri so pamoja na madhaifu kidogo ila performance yao na Serikali yao iliwaridhisha wananchi, kwa ilo huwezi danganya mtu. Alafu na Sukuma Gang wala haihusiani na ukabila ni just tu an Ideology. Tunaweka waita hata Hapa Kazi Gang kuondoa dhana ya ukabila.
 
Kama wana nia njema na wanakubalika na wananchi watoke huko CCM waunde chama waitoe CCM
 
Bashungwa
Bashungwa? Watu hamko serious, TAMISEMI tu ilimshinda nchi mnaichukuliaje? Hapo hakuna hata anayekaribia hiyo nafasi. Baada ya Samia labda Majaliwa. Hussein, Maisha tusijerudia makosa rais kutoka kabila kubwa hii nchi itagawanyika. Haya makabila makubwa ni wakabila sana mtajuta. Sasa hivi tu kuirudisha hii nchi pamoja kuondoa mawazo ya ukanda na ukabila yaliyoanza itachukua muda sana. watu km wamelogwa. Watu wanahesabu NEC kuna wasukuma wangapi? kanda ya ziwa wako wangapi? Mnamfahamuj aliyetufikisha hapa haya hayakuwepo kabla. Baba wa Taifa alituasa kwa nchi zetu hizi changa ni rahisi sana watu kukimbilia udini au ukabila. Tunahitahitaji rais wa kuunganisha nchi muda wote bila hata harufu ya ubaguzi kwa msingi wowote.
 
mpuuzi wewe leo ndiyo unajua kuwa kuna TUMEHURU YA UCHAGUZI? ILE YA MAHERA si mlisema ni huru ndiyo maana wapinzani walichaguliwa 2015?
shenzi kabisa
hao wadau wako ulikutana nao wapi?
uliwachaguaje ili kuzungumza nao?
wana uelewa/elimu gani?
uliongea nao kwa lengo gani?
kwann uliamua kuongea na watu hao tu na siyo kundi lingine
maswali ni mengi
KAMFUFUE UZIKWE WEWE
 
Kwaiyo unataka tubishane? Nonsense 🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…