Yanga wameichapa simba zaidi ya mara 2, ngao ya jamii simba kachezea kimadharau sanaYanga unaowazungumzia ndio wale waliofungwa mbili bila na Simba au Kuna Yanga wengine
Kipindi cha nyuma niliwahi kusema ni marufuku kucheza na Yanga huku ukiwa unacheza kwa kuwashambulia kwa Wingi zaidi utakuwa unajitafutia matatizo ya kifo cha kujitakia
Yanga hawakuitaka Ile mechi...walikuwa wanajiandaa na mechi za Caf.....na walikuwa wanauona ubingwa wa ligi ya NBC,Simba ilikuwa pungufu point 8.....wachezaji walikuwa wanawaza nusu fainali ilikuwa.Yanga unaowazungumzia ndio wale waliofungwa mbili bila na Simba au Kuna Yanga wengine
Hakuna kitu kama hicho , Simba na Yanga zote zilikuwa na mechi ngumu mbele yao hivyo aliyefungwa alizidiwa uwezo tu mkubali kuliko kujitutumua eti mlimwachia SimbaYanga hawakuitaka Ile mechi...walikuwa wanajiandaa na mechi za Caf.....na walikuwa wanauona ubingwa wa ligi ya NBC,Simba ilikuwa pungufu point 8.....wachezaji walikuwa wanawaza nusu fainali ilikuwa.
Icho unachokisema kitathibitishwa msimu huu kama aliyecheza mechi 2 alikuwa dhaifu ama lah! Mwenzako alikutana na Al hilal na wewe ukaenda kukutana na ihefu wa angola na wakati huo huo muunganiko ulikuwa bado aujaklick ndani ya yanga nafikiri nimekujibu!Kwanini Yanga kwenye champion league alicheza mechi mbili tu? Simba ambaye alikuwa na kikosi dhaifu amecheza champion league mpaka robo fainali na sasa anacheza Supercup?
Yanga ambayo imecheza shirikisho fainali kwanini kwenye supercup haipo?
utetezi was kitoto lakini utoto unakusumbua hizi mechi ni zaidi ya unavyozijua I;a kwa sababu umeanza ushabiki juzi ndio maana ukajibu hivyo.Yanga hawakuitaka Ile mechi...walikuwa wanajiandaa na mechi za Caf.....na walikuwa wanauona ubingwa wa ligi ya NBC,Simba ilikuwa pungufu point 8.....wachezaji walikuwa wanawaza nusu fainali ilikuwa.
Kwa hiyo Simba ilikuwa na muunganiko kuliko Yanga ila Yanga akamfunga Simba kwenye ngao kisha Yanga akafungwa na Al Hilal kisa hana muunganiko hivi ninyi mnatafakari kwa kutumia vichwa vyenu vizuri kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]Icho unachokisema kitathibitishwa msimu huu kama aliyecheza mechi 2 alikuwa dhaifu ama lah! Mwenzako alikutana na Al hilal na wewe ukaenda kukutana na ihefu wa angola na wakati huo huo muunganiko ulikuwa bado aujaklick ndani ya yanga nafikiri nimekujibu!
Kwanini Yanga kwenye champion league alicheza mechi mbili tu? Simba ambaye alikuwa na kikosi dhaifu amecheza champion league mpaka robo fainali na sasa anacheza Supercup?
Yanga ambayo imecheza shirikisho fainali kwanini kwenye supercup haipo?
Hongera Kwa kujifarijiWatu wengi wanaweza kuona kikosi cha Yanga ni cha kawaida kutokana na sajili za Simba lakini kwangu mimi bado Yanga wana kikosi kikubwa zaidi ya Simba hasa hasa washambuliaji wa Yanga.
Kipindi cha nyuma niliwahi kusema ni marufuku kucheza na Yanga huku ukiwa unacheza kwa kuwashambulia kwa Wingi zaidi utakuwa unajitafutia matatizo ya kifo cha kujitakia
Yanga ni wabaya zaidi ukiwapa nafasi ya kukimbia na mpira iwe katikati au pembezoni mwa uwanja
Maana wana washambuliaji wenye kasi zaidi na nguvu kuliko timu yeyote nchini
Na wakienda na mpira wao huu kimataifa hakika yanga bingwa full stop
Mbona Yanga ameifunga sana Simba? Kiboko ya Simba ni Yanga.Yanga unaowazungumzia ndio wale waliofungwa mbili bila na Simba au Kuna Yanga wengi
Ukiona umepangiwa timu ngumu jua wewe ndo dhaifu. Kwa hiyo utopolo ni luza kama luza wengine.Icho unachokisema kitathibitishwa msimu huu kama aliyecheza mechi 2 alikuwa dhaifu ama lah! Mwenzako alikutana na Al hilal na wewe ukaenda kukutana na ihefu wa angola na wakati huo huo muunganiko ulikuwa bado aujaklick ndani ya yanga nafikiri nimekujibu!