Badoo inanivunjia uchumba wangu

Ukiona mpenzi wako mume, mke anatumia badoo basi achana nae mara moja, badoo ni mtandao makahaba 100% kuna nini cha maana badoo utachat na mtu zaidi ya uzinzi?
Kama umeshajionea hayo unasubiri nini mpaka uje uletewe ngoma?
Kwa muda huu anatumia badoo unadhani kishagegedwa na wangapi waliokuja na style kama yako? nifah hebu kuja huku utoe ushauri mualike na binamu yako warumi maana ndio anapenda story kama hizo
 
Last edited by a moderator:
Yamenikuta

Kamanda sikiliza mwalike tena hoteli fulani ,wewe utangulie room,mpe room namba aje moja kwa moja room akukute wewe halafu mfungulie hizo meseji zake zote umpe.
Ukishampa vidonge vyake mtakie kila la kheri muachane kwa furaha na amani
 
Last edited by a moderator:

Anakifua cha kufanya hvyo mdau?
Manake haya mambo haya yahitaji moyo aisee
 
Pole mkuu, mi sioni haja ya kuzianika picha zake mitandaoni na magazetini.
Just be open na umuache mazima kwa evidence hizo. Too bad aisee pole sana.
 

Hao wadada waliochangia huko juu ni wanaume?
Hakuna aliye msafi wanaume wenyewe mnafanya ushenzi tofauti Yetu siye wepesi wa kusamehe basi..
Mwanzisha mada if the puzzle piece doesn't fit in let it go.
 
Badooo 99% ya wasichana wanajiuza.ukiwa na mpenzi wako ana badoo app ktk simu yake shtuka na kimbia fasta.Badoo ni ya wasichana wanaojiuza 80% ya malaya wa sinza wapo badoo

Hii kitu nilikua siifahamu Mara ya kwanza niliiona kwa my hubby mie nikajifungulia najua ni kama Jf looh yaliyomo humo mmmmh ngoja tu niendeleage na ushamba wangu
 
msamehe kwani wewe umechepuka mara ngapi
 
Muache, tafuta mwingine. Wala usimfanyie kisasi chochote Acha dunia impe somo.
 
Achana nae tu wala.usifikirie kufanya kitu kibaya haikuwa ridhiki yako ila mwambie akae ajue kwamba vyote anavyovifanya unavifahamu then komaa na mambo yako kaka,,,
 
Yamenikuta

ukiangalia fedha muda n penzi ulilompa afu umsamehe tu ivivi haiwezekani wanazoea awa. wanatuumiza wanategea atasamehe tu. ni lazima umuonyeshe tofaut. but usifundishe adabu bila kumwambia kosa lake.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa yalokukuta mkuu,huyo mwanamke hakufai, inaonekana hajaridhia kuwa na ww,hayupo loyal na hana mapenzi nawe.Achana nae na ishi maisha yako utapata atakayefanana nawe!
 
Huna sababu ya kusambaza picha. Bali muite mkae mpe reaon msimulie yoote uliyosimulia hapa. halafu muulize swali moja tu je wafaa kuwa mke wangu na je ninafaa kuwa mume wako. then toa jibu mwenyewe UCHUMBA UMEISHIA HAPA.

Angalizo tulio katika mahusiono acheni udukuzi!!!!! ndoa zitaisha na chumba zitavunjika kila leo
 
Hii kitu nilikua siifahamu Mara ya kwanza niliiona kwa my hubby mie nikajifungulia najua ni kama Jf looh yaliyomo humo mmmmh ngoja tu niendeleage na ushamba wangu

Heeeh badoo kumbe ni mtandao wawanaojiuza.Ndo Leo nimeuona jf. Kwa kweli mdada mwenye mchumba kuwa kwenye huo mtandao hafai kuwa wife to be aisee.
 
ukiangalia fedha muda n penzi ulilompa afu umsamehe tu ivivi haiwezekani wanazoea awa. wanatuumiza wanategea atasamehe tu. ni lazima umuonyeshe tofaut. but usifundishe adabu bila kumwambia kosa lake.

Hata kama mtu katumia gharama kiasi gani mtu hakufai unaachana naye kiroho safi kabisa jinsia zote huumizana sio wanawake tu. Kuonyesha ukomavu ni kutoku murevenge na Ku move on then you forgive and forget.
 

Akifata ushauri wako hamuachi,
Mwanamke anajua kubembeleza jamaa atalegea atasamehe yote,
Na baadae atakuwa anawaza kwa sababu gani alisamehe na kwanini kashindwa kumuacha,
Huyo dawa yake ni kukata mawasiliano nae na unamfanya ajue kama yote yale alikuwa afanya na wewe basi, na asitake tena kuonana nae hapo ataweza kumuacha kama kweli ana lengo la kuacha, kama ana mpango wa kusamehe basi afate ushauri wako,
 
Pole kwa yalokukuta ila samehe na anza upya ya nin malumbano msamehe na msahau. Bila ya hivyo utakuwa unajitesa ww maishan mwako kwanin akutese na w.wke wapo kibao wanaokutaman? Sahau mkuu na msamehe yaishe anza namba moja hutajuta maishan mwako
Acha zako ww unaanzaje kumsamehe mtu wa namna iyo,amuache tu time heals everything as time goes on he will be able to forget her and move on with ihis life.he shouldn't feel pity on her at all.
 
Acha zako ww unaanzaje kumsamehe mtu wa namna iyo,amuache tu time heals everything as time goes on he will be able to forget her and move on with ihis life.he shouldn't feel pity on her at all.

time never heals, but love!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…