Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Mi nakushauri kitu kimoja, kwa sababu kakutesa na kakufanyia ushenzi we endelea nae lakini tafuta demu wa pembeni ambaye ndo utakae muoa fqnya siri kwa wote wasijue,mpotezee mda wake huo boya then ukikamilisha mambo yako fukuza afu baada ya kma miezi sita funga ndoa...hyo hyo boya lazima awe chizi..
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

Do not generalize.Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.Kila mtu abawajibika kwa tabia zake
 
Badooo 99% ya wasichana wanajiuza.ukiwa na mpenzi wako ana badoo app ktk simu yake shtuka na kimbia fasta.Badoo ni ya wasichana wanaojiuza 80% ya malaya wa sinza wapo badoo

Agree mkuu, Asilimia 90 wanawake badoo wanajiuza, Malaya wote wa kujiuza wapo, Ukichat nae kidogo tu lazima uombwe pesa.Mtandao hatari, Jambo lililompata Mkuu ndio linatokea kwa watu wengi..
 
Mi nakushauri kitu kimoja, kwa sababu kakutesa na kakufanyia ushenzi we endelea nae lakini tafuta demu wa pembeni ambaye ndo utakae muoa fqnya siri kwa wote wasijue,mpotezee mda wake huo boya then ukikamilisha mambo yako fukuza afu baada ya kma miezi sita funga ndoa...hyo hyo boya lazima awe chizi..

Kweli kabisa mangi!!!
Tena akiuliza why muite chemba then mpe story yote kama ulivyoitoa hapa.,ausio
 
Ila nlichokigundua asilimia 99 ya mapenzi huwa yanaharibiwa na watu wa nje..
 
Nlikuwa staki kuchangia lakini baada ya kusoma moni ya wengi humu wanasema mwambiye halafu umwache. Hapana, muda wa kuongea naye utakuletea ka huruma flan hivi haswa ukiyakumbuka yalivyokuwa kabla.

Mwache tu kitaratiib na kistaarab. Usimwambiye lolote ila kama atakufwat fwata, mpe kav kuwa weye ndo ulikuwa unachati naye kulee badoo.
Umempima ukamwona hakufai tena. Picha usizisambaze tafadhali, kuwa na utu
 
Panga naye appointment kama ulivyofanya awali. Aje akukute then umuoneshe picha zake zote.
 
[QUOTaE=DZUDZUKU;12965363]The game of thrones.

Huyo dada anajua fika kwamba unamzingua, ndio maana anakuzingua Na wewe.

She knows what your doing that is why she is doing so.[/QUOTE]
hakuna kitu kama hyo au we ndo dem wake nini unatafuta cha kujitetea mizinguo mpaka kwenye kurusha picha mbona yeye hakuomba za jamaa ili naye amzingue tena ukiendelea kutetea huu upuuzi nitamshauri jamaa azitupie kwa shigongo kabisa kahaba wewe
 
Huyo hatakuja kuwa mke material, achana naye lakini mwambie ni kwa nini umeamua kumuacha. Nakushauri ufute wazo la kuweka picha zake za ovyo kwenye mitandao. Hiyo ingawaje itamuumiza yeye, lakini haitakusaidia wewe chochote.

Pole kwa yaliyokukuta.

Tiba
 
Badoo ni nima aisee yaani kule wanajiuza live bila chenga
To be honest sasa hivi kama unataka mzigo wa kupiga fasta unazama Badoo mnachat kidogo mnakubaliana bei na anakukuta room

Ushauri wangu, panga naye mkutane gesti, aje. Akukute wewe umejaa tele ndani ya room
Then usimpe nafasi kabisa ya kujitetea, mwambie tu muda wote ulikua unachat na mimi baada ya kuambiwa upo badoo
Kisha mtakie maisha mema na usepe mazima
Yaani ndio mwisho....,. Itamtesa maisha yake yote kuliko kusambaza mapicha yake ya utupu
 
Usiweke picha kwenye mtandao wala kupeleka kwa shigongo utakuwa umemdhalilisha sana lkn maana ya kuchunguza tukio nikujua kama anakupenda sasa ushajua akupendi achana nae tu usimfanyie kitu kibaya,unaweza mfanyia kitu kibaya akaja kujiua unafikiri utakuwa na majuto kiasi gani
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

Ushauri wa mwanaume halisi...

Nimekupenda bure hahahaa. (Am joking lol)
 
Yamenikuta

Babu we jilie kwanza hayo mambo yetu na hakikisha unamtoa damu ya kutosha kama siku tatu hv uwe unarudia huko huko ili augulie vidonda kisha unampa fact alafu unamtema mazima
Hafai hata kwa kulumagia ibilisi huyo.
 
Last edited by a moderator:
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.

Mdau mi naona akifanya hvyo anaweza kisababisha kifo maana hawa viumbe ni dhaifu awawezi vumilie acje akajiua dawa ni kama nilivyopost hapo juu aisee
 
Kwanza hongera kwa uintelijensia ulioucheza aisee,pili mpe pongezi sana rafiki yako aliokuokoa mikononi mwa huyo Malaya,tatu kapime ngoma isije ikawa too late.hii ndio halihalisi ya hao tunaowaita wachumba zetu,hawana mapenz ya kweli wataka ndoa tu kupata hadhi mtaani.tuwachunguze sana kabla ya kujicommit tutawaolea watu
 
Mshukuru Mungu amekuonesha hilo mapema kwa kuwa anakupenda na kukuwazia mawazo yaliyo mema. Lakini huko badoo kama ulivyosema lengo la huko ni ..... tu, je ulimkuta huyo mchumba ameshajiunga uko? na wewe pia upo uko???? unatafuta nini?. Usimfanyie kama ulivyokusudia maana ubaya haulipwi kwa ubaya, lipa ubaya kwa wema. Wewe muache tu na pia umueleze kosa lake ni lipi.
 
Duh! That is life. Mi ningefanya hivi, picha nayoitumia kwenye profile ya badoo ndio naiweka kama DP whats-app, status ningeweka Id ya badoo. Halafu siulizi kitu.

Hizo picha futa tu, you don't want the guilt of sharing them in your conscious bruv, it ain't worth it.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom