Badra masoud

saidomr

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
58
Reaction score
2
Badra atoa ufafanuzi kuhusu ukatikaji wa umeme.ahsubui hii. on itv.
 
Huyu mama inahitaji moyo kumsikiliza
anatia kichefuchefu.
 
Huyu dada simpendi coz huwa anaongea tu vitu kwa nadharia ambavyo practically havina uhalisia
 
Huyu mama inahitaji moyo kumsikiliza
anatia kichefuchefu.

Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.
 
Amesema maeneo gani ndio itaadhirika na hilo janga mezee?. Ila kama mmewahikujua suala moja ni kwamba kila wakati inapofika msimu wa Bunge mostly power huzingua. Vp yule jamaa wa Tanesco Zitto na January walivimba nae juu ya Generator la serekali alinyng'anywa??
 
Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.

Hivi kinacho angaliwa ni kujieleza au anachoeleza,umesikia majibu aliyokuwa anatoa asubuhi hii?Pumba tupu.
 
Hivi kinacho angaliwa ni kujieleza au anachoeleza,umesikia majibu aliyokuwa anatoa asubuhi hii?Pumba tupu.
We unahangaika kumjibu? Hujui kama hata ndugu
zake wanaingia huku? Huyo uliyemquote ni mtoto
wa dada yake.
 
Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.

kuna tofauti kubwa kati ya kujieleza kiuhakika na kudanganya kiuhakika.... yeye anadanganya kiuhakika!!!!

after-all, if she is competent whay wouldn't she look for a better job than a messenger of lies and promises in a company that has never delivered even 20% of service level ?
 
Hivi kinacho angaliwa ni kujieleza au anachoeleza,umesikia majibu aliyokuwa anatoa asubuhi hii?Pumba tupu.

hiyo pumba ndio ufasaha wenyewe... hata pumba yahitaji kipaji cha kuitoa kwa ufasaha:heh:
 
Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.

Nina wasiwasi kama unajua unachokisema!
 
Kwani wewe hujui anatafuta viti maalum kwenye ccm?
 
No more to add !
 
Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.

Do you mean confidence???
Kujua unachokifanya ni relative mkuu. Hata majambazi na washiriki wa EPA walijua walichokifanya
Unakumbuka majibu yake alipoulizwa kwa nini mita ilipiwe wakati wa kuibadili kama mteja hayuko kwenye kanda
husika????

Kwa leo mkuu hajaonesha sifa hizo unazompa
 
Wewe wasema in short anaangalia mshiko ulipo after all this is our system hakuna taasisi yoyote ya serikali atakayoenda asifanywe kuwa messenger of lies kwa hiyo bora akae hapo hapo ambapo alishakremisha uongo maana akishatumia neno megawat tu watanzania wote hoi sasa akienda kwingine atasumbuka sana kuuzoea uongo wa huko
 
Badra atoa ufafanuzi kuhusu ukatikaji wa umeme.ahsubui hii. on itv.

..... :focus:

Saidomr Kama wewe ulifanikiwa kumsikiliza hebu tueleze ... Katoa ufafanuzi gani ... Anasemaje kuhusu tatizo la umeme kukatika mara kwa mara? ...!!!
 
Saidomr

Naona watu wana usongo na Barda kuliko ujumbe wake. Kama wewe ulifanikiwa kumsikiliza hebu tueleze ... Katoa ufafanuzi gani ... Anasemaje kuhusu tatizo la umeme kukatika mara kwa mara?

miundombinu imechakaa ivyo ndiomana umeme unasumbua. Anasema kwa muda. mrefuu warihisau kuirekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…