Badra masoud

Badra masoud

miundombinu imechakaa ivyo ndiomana umeme unasumbua. Anasema kwa muda. mrefuu warihisau kuirekebisha.

Thanks Mkuu!! Hilo moja nimelipata tutalijadili lakini kabla ya hapo .... hakuna cha zaidi alichosema zaidi ya hilo?

Yaani point namba mbili ni?
 
hamna lolote waseme tu kuwa ni mgao wa kimya kimya.......au hawataki tutazame bunge? Maana wiki hii wanajitahidi kukata, huku kijijini kwangu mpaka sasa haujarudi....
 
anaongeea weee siku ikiisha mshahara wake upo pale pale, sie ndo tunaumia.
 
Jamani, hii nchi mtatuulrumia lini?
Huyu bibi wa TANESCO Badra mbona ni bogus sana na bado kuna watu wana mshinikiza Mhando aendelee naye tuu!?

Sio mara ya kwanza kusikia u_pu_pu wake, ila leo nimeona niandike!!Leo Radio One sa 12:39 asubuhi anahojiwa - kuhusu kuhamisha nguzo kupisha mradi wa mabasi ya kasi - anaanza mipasho kutoa mipasho!
Ndo taabu ya hawa wadudu, wakisha shikwa mikono tuu basi wanavimba vichwa hata wanasahau "etiquete" za kazi zao.

What she responded to the reporter today was purely rub_bish.

Mr.Mhando hebu mn'goe tena hapo, this time tutakusaidia, weka Public Relations Officer ambaye ni Engeneer! TANESCO sio kina Voda, Airtel, etc wa kuuza sura!!
 
Katika wanawake wachache wanaojuwa wanachokifanya huyo ni mmoja wapo. Anajieleza kwa ufasaha kabisa na bila kutafuna maneno. Hongera Badra.

Tanesco hata uwe makini kiasi gani ni upuuzi kuwa msemaji wao maana utaongea kitu kinachotokea ni kinyume chake
 
wivu wa nini , naye si mwanasiasa kama wengine ? leave her alone.
 
Give her a break dudes, naye ni mwanasiasa kama wenzake. Mwacheni ajivinjari.
 
Give her a break dudes, Naye ni mwanasiasa kama wenzake. Mwacheni ajinafasi.
 
Back
Top Bottom