BAED wa SAUT MWANZA vs BAED wa DUCE

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
215
Reaction score
21
msaada juu ya mada tajwa hapo juu .:help:
 
Mwenyewe hujielewa ndiyo maana unajibu kwa kurokoka
 
Utakuja lifahamu hilo msimu wa ajira ukifika. Chuo cha kwanza kupangiwa ajira ndio bora.
 
msaada juu ya mada tajwa hapo juu .:help:

Watoto wa div 5 mna matatizo sana! hoja yako au msaada unahitaji hapo ni nini ? au ulikua unataka kuanzisha ubishi kuhusu hivyo vyuo?
 
Unataka kusema nini mleta mada??!!!!!Funguka mkuu
 
BAED ndo kitu gan?duce maana yake nn?saut ina maana gan?

BAED ni Ni chuo kipya kipo Mbeya. Duce Ni Dar es salaam University college of Excelence. Saut ni Social Acts University of Tanzania Kipo Mbagala.
 
Mleta maada acha bangi au ndo Div.5 nini?
 
BAED ni Ni chuo kipya kipo Mbeya. Duce Ni Dar es salaam University college of Excelence. Saut ni Social Acts University of Tanzania Kipo Mbagala.

qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi! Hiyo nimeipenda sana mkuu nadhani umemjibu vema mtoa maana mwenye cheti cha dvn 5,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…