BAED wa SAUT MWANZA vs BAED wa DUCE

BAED wa SAUT MWANZA vs BAED wa DUCE

Mwenyewe hujielewa ndiyo maana unajibu kwa kurokoka
 
Utakuja lifahamu hilo msimu wa ajira ukifika. Chuo cha kwanza kupangiwa ajira ndio bora.
 
Unataka kusema nini mleta mada??!!!!!Funguka mkuu
 
BAED ndo kitu gan?duce maana yake nn?saut ina maana gan?

BAED ni Ni chuo kipya kipo Mbeya. Duce Ni Dar es salaam University college of Excelence. Saut ni Social Acts University of Tanzania Kipo Mbagala.
 
BAED ni Ni chuo kipya kipo Mbeya. Duce Ni Dar es salaam University college of Excelence. Saut ni Social Acts University of Tanzania Kipo Mbagala.

qwi qwi qwi qwi qwi qwi qwi! Hiyo nimeipenda sana mkuu nadhani umemjibu vema mtoa maana mwenye cheti cha dvn 5,
 
Back
Top Bottom