Baf ya st john na baf ya mzumbe ipi kali?

Teh teh teh daah kweli tutafika jamani et ipi kali
Unataka uombe uamisho?
 
Nini sababu yako kujua ipi kali? Kwangu zote kali.
 
mi nilidhani bafu la kuogea nilitegemea kun picha
 
yeyote mwenye uelewa naombeni msaada

Hakuna BAF kali kati ya hizo,isipokuwa aliyesoma popote kati ya hivyo vyuo ndiyo anaweza kuwa mkali au la kutegemeana na uelewa wake na bidii yake katika masomo.Not everything can be generalized.Ubora wa elimu siyo chuo,ni bidii ya mtu as an individual ktk kuelewa mambo hasa katika ulimwengu huu ambapo resources ni nyingi na zinapatikana kirahisi.If you can read ,you can learn anything.
 
Badala ya kusoma unaulizia ukali wa vyuo ndio maana kukwa na zaidi ya kimoja, kila chuo ni kizuri kwa chenyewe na hata wsomi wake wanatakiwa watambulishwe hivyo.
 
Hakuna BAF kali kati ya hizo,isipokuwa aliyesoma popote kati ya hivyo vyuo ndiyo anaweza kuwa mkali au la kutegemeana na uelewa wake na bidii yake katika masomo.Not everything can be generalized.Ubora wa elimu siyo chuo,ni bidii ya mtu as an individual ktk kuelewa mambo hasa katika ulimwengu huu ambapo resources ni nyingi na zinapatikana kirahisi.If you can read ,you can learn anything.

umenena mkuu
 
yeyote mwenye uelewa naombeni msaada
ok..of coz baf ya mzumbe ni balaa japo zote zitafanania the most noticeable is that of mu,,vyuo vingi vinaiga lakini havitoi baf vinaishia sub baf....eeeebwana real baf ni mzumbee nadhani umenipata im a graduate there on same coz ua asking 4
 
sasa kama uligraduete mu,nani kwambia kua we ni mkali zaidi ya wote waliograduete st.jonh? Ficha ujinga basi
 
weh acha ubishi wako..baf ya mzumbe iko vizur mimi mwenyewe nimemaliza pale mwaka jana na sasa nafanya kazi wizara ya fedha!!!
 
Back
Top Bottom