Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend iliopita nilikuwa Bagamoyo. kwa mara ya kwanza nikashiriki mnada wa samaki. Unaweza kushangaa umenunua samaki wa 200,000/=Mods wanajizima data.
Unasubiri wavuvi wakifka na maboti yao. Wanakuja na mzigo pale sokoni, wanauweka mnaanza bidding. Samaki wanakuwa bundle pcs kama ishirini hivi unaweza kununua kwa 20k-30k vibua,changu etc. Bei nafuu kinoma. Mimi na jamaa yangu tuliondoka na ndoo moja moja.Huo mnada upoje? Niliambiwa kununua samaki uwe na mwenyeji.. madalali wengi