Unasubiri wavuvi wakifka na maboti yao. Wanakuja na mzigo pale sokoni, wanauweka mnaanza bidding. Samaki wanakuwa bundle pcs kama ishirini hivi unaweza kununua kwa 20k-30k vibua,changu etc. Bei nafuu kinoma. Mimi na jamaa yangu tuliondoka na ndoo moja moja.