Bagamoyo: Mitishamba ya kuongeza nguvu za kiume yadaiwa kusababisha vifo vya vijana Wanne

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Vijana wanne wamepoteza maisha baada ya kunywa dawa ya kienyeji ya mitishamba inayodaiwa ya kuongeza nguvu za kiume.

Mkasa huo umetokea Huko Bagamoyo Maeneo ya Kiromo, ambapo vijana hao ambao kwa umri wao ni kama miaka 25-30.

Kwa mujibu wa taarifa ya mmoja wa marehemu alijulikana kwa jina la Elisha kabla ya umauti haijamkuta anasema mwenzao ambaye pia ni marehemu hivi sasa ndiye ambaye aliwauzia dawa hiyo ya miti shamba ambapo kwa nyakati tofauti marehemu hao walikunywa na kusababisha vifo vyao.

Anasema yeye alinunua dawa hiyo kwa tsh 2,000 na kupewa dozi hiyo na kuanza kuinywa siku ya alhamis ya wiki iliyopita, siku ya jumamosi asubuhi alianza kujisikia vibaya huku akiwa anaharisha sana na kutapika, hali iliendelea kuwa mbaya zaidi hivyo kupelekwa hospital ya wilaya ya Bagamoyo kwa matibabu zaidi hata hivyo hali alizidi kuwa mbaya zaidi kwani alikuwa anatapika mabonge ya Damu ndipo mauti ikamkuta majira ya saa 8:40, Mwili wa Elisha umeagwa leo kwenda kuzikwa huko Ukerewe.

Wakati Elisha anapambana na mauti mwenzake anayejulikana kwa jina la Mjahusi ambaye ndiyo alikuwa mtayarishaji wa dawa hiyo alikuwa naye anapatiwa matibabu hospital hapo yeye alipata mauti usiku wa kumkia siku ya Jumapili.

Taarifa zinasema kuwa wengine wawili walifia kigamboni na Bunju walikukuwa wanaishi.

Aidha kijana mmoja anajulikana kwa jina la Lowasa yeye hali yake bado si nzuri na amelazwa hospital maeneo ya Tegeta.

Kwa mujibu wa mmoja wa aliyenusurika ajulikanaye kwa jina Muha anasimulia akisema kwamba walinunua yeye na wenzake dawa hiyo kwaajili ya kuongeza nguvu za kiume na walikuwa wanatumia zaidi ya mara moja hawakupata na tatizo lolote tofauti na hiii waliotumia ikawaletea madhara makubwa.

Muha anasema muuzaji na mtengenezaji wa dawa hiyo awali alikuwa anaigiza dawa kutoka Bukoba lakini baada ya muuzaji kugundua mti uliokuwa unatengeneza dawa hiyo unapatikana pia Maeneo ya Bagamoyo aliamua kutengeza dawa hiyo kwa mizizi ya mti huo hali sababisha tafrani na watu kupoteza maisha.

Muha anasema kilichomsaidia yeye ni kwamba baada ya kuinywa alipoanza kujisikia vibaya alikunywa maziwa na maji mengi ndiyo ilikuwa salama yake.

Picha ya kwanza Mwili wa Elisha ukiagwa.

Picha ya pili Muha akiwa kwenye msiba wa rafiki yake Elisha.

Screenshot_2019-08-19-21-22-04.jpg

Screenshot_2019-08-19-21-22-32.jpg
 
Matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume uchangiwa na mambo makuu manne.
1.Ukikosa pesa..
2.Msongo wa mawazo unaosababishwa na namba 1
3.Matatizo ya kisaikolojia.
4.Kutokula chakula Bora.
Sasa hapo utachemsha hadi majani ya mmavi mavi lakini wapi.
 
Hili suala la nguvu za kiume na Kibamia litaondoka na wengi sana.
Waafrica cjui nani alituroga hili suala la nguvu za kiume na kibamia sometime wanawake wanatumia kutufedhehesha kwa makusudi tu ila halina uhalisia to that extent, ni vile wanaona tupo sensitive na tunajaa sana pindi tukihusiswa na hivo vitu.
Sasa kwa uwezo mdogo wa kufikiri mwanaune wa kiafrica ataangahika hadi kuhatarisa maisha yake ili amunyeshe huyo mwamke yeye ni mwamba.
Yaani mtu akiambiwa wewe wa dkk 5 tu basi anaenda kutafuta vimbi la congo ili akae masaa mawili kifuani kwa mtu, na hapo michubbuko ndio hikwepeki na maambukizi ya magonjwa ndio hushamiri.
Tafadhari wanaume tuache kujihangaisha na hii jinsi ke, kumbuka tu raha ya mwisho ya te ndo ni kufikishana kileleni no matter umetumia dkk 3, 5 au 10. It is not health kushindana na papuchi.
Mwanamke unaeza enda nae vzr akikuchoka kitu anachojua akikutukana na kitakuingia ni una kibamia au huna nguvi za kiume au humridhishi, kijana usipanic relax kuna utakaeendana nae.
 
Miaka 25-30 anatumia dawa ya kuongeza nguvu za kiume!!! Kweli kuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhania.

Kuna haja ya kufanya utafiti juu ya athari ya vyakula visivyo vya asili kama makuku ya kisasa, mboga mboga na matunda yanayozalishwa kwa vinasaba vilivyobadishwa viwandani(GMOs)

Watu wanaposema wanaume ni endangered species ni reality aisee
 
Wamekufa na heshima zao,tatizo la kuchanganya mizizi ndio limechomoa betri.
 
Kama huna ndio huna tu. Wewe hata ule mkojo wa mjusi mweupe, wakukosa wakukosa tu.
 
Majanga

Miaka 25-30 anatumia dawa ya kuongeza nguvu za kiume!!! Kweli kuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhania.

Kuna haja ya kufanya utafiti juu ya athari ya vyakula visivyo vya asili kama makuku ya kisasa, mboga mboga na matunda yanayozalishwa kwa vinasaba vilivyobadishwa viwandani(GMOs)

Watu wanaposema wanaume ni endangered species ni reality aisee
 
Hili suala la nguvu za kiume na Kibamia litaondoka na wengi sana.
Waafrica cjui nani alituroga hili suala la nguvu za kiume na kibamia sometime wanawake wanatumia kutufedhehesha kwa makusudi tu ila halina uhalisia to that extent, ni vile wanaona tupo sensitive na tunajaa sana pindi tukihusiswa na hivo vitu.
Sasa kwa uwezo mdogo wa kufikiri mwanaune wa kiafrica ataangahika hadi kuhatarisa maisha yake ili amunyeshe huyo mwamke yeye ni mwamba.
Yaani mtu akiambiwa wewe wa dkk 5 tu basi anaenda kutafuta vimbi la congo ili akae masaa mawili kifuani kwa mtu, na hapo michubbuko ndio hikwepeki na maambukizi ya magonjwa ndio hushamiri.
Tafadhari wanaume tuache kujihangaisha na hii jinsi ke, kumbuka tu raha ya mwisho ya te ndo ni kufikishana kileleni no matter umetumia dkk 3, 5 au 10. It is not health kushindana na papuchi.
Mwanamke unaeza enda nae vzr akikuchoka kitu anachojua akikutukana na kitakuingia ni una kibamia au huna nguvi za kiume au humridhishi, kijana usipanic relax kuna utakaeendana nae.
POINT, PIA NA VIDEO ZA NGONO ZIMEHARIBU WENGI.
 
Vijana wanne wamepoteza maisha baada ya kunywa dawa ya kienyeji ya mitishamba inayodaiwa ya kuongeza nguvu za kiume.

Mkasa huo umetokea Huko Bagamoyo Maeneo ya Kiromo, ambapo vijana hao ambao kwa umri wao ni kama miaka 25-30.

Kwa mujibu wa taarifa ya mmoja wa marehemu alijulikana kwa jina la Elisha kabla ya umauti haijamkuta anasema mwenzao ambaye pia ni marehemu hivi sasa ndiye ambaye aliwauzia dawa hiyo ya miti shamba ambapo kwa nyakati tofauti marehemu hao walikunywa na kusababisha vifo vyao.

Anasema yeye alinunua dawa hiyo kwa tsh 2,000 na kupewa dozi hiyo na kuanza kuinywa siku ya alhamis ya wiki iliyopita, siku ya jumamosi asubuhi alianza kujisikia vibaya huku akiwa anaharisha sana na kutapika, hali iliendelea kuwa mbaya zaidi hivyo kupelekwa hospital ya wilaya ya Bagamoyo kwa matibabu zaidi hata hivyo hali alizidi kuwa mbaya zaidi kwani alikuwa anatapika mabonge ya Damu ndipo mauti ikamkuta majira ya saa 8:40, Mwili wa Elisha umeagwa leo kwenda kuzikwa huko Ukerewe.

Wakati Elisha anapambana na mauti mwenzake anayejulikana kwa jina la Mjahusi ambaye ndiyo alikuwa mtayarishaji wa dawa hiyo alikuwa naye anapatiwa matibabu hospital hapo yeye alipata mauti usiku wa kumkia siku ya jumapili.

Taarifa zinasema kuwa wengine wawili walifia kigamboni na Bunju walikukuwa wanaishi.

Aidha kijana mmoja anajulikana kwa jina la Lowasa yeye hali yake bado si nzuri na amelazwa hospital maeneo ya Tegeta.

Kwa mujibu wa mmoja wa aliyenusurika ajulikanaye kwa jina Muha anasimulia akisema kwamba walinunua yeye na wenzake dawa hiyo kwaajili ya kuongeza nguvu za kiume na walikuwa wanatumia zaidi ya mara moja hawakupata na tatizo lolote tofauti na hiii waliotumia ikawaletea madhara makubwa.

Muha anasema muuzaji na mtengenezaji wa dawa hiyo awali alikuwa anaigiza dawa kutoka Bukoba lakini baada ya muuzaji kugundua mti uliokuwa unatengeneza dawa hiyo unapatikana pia Maeneo ya Bagamoyo aliamua kutengeza dawa hiyo kwa mizizi ya mti huo hali sababisha tafrani na watu kupoteza maisha.

Muha anasema kilichomsaidia yeye ni kwamba baada ya kuinywa alipoanza kujisikia vibaya alikunywa maziwa na maji mengi ndiyo ilikuwa salama yake.

Picha ya kwanza Mwili wa Elisha ukiagwa
Picha ya pili Muha akiwa kwenye msiba wa rafiki yake Elisha.
Lipia tangazo mkuu hakuna kitu kama hicho
 
Hili suala la nguvu za kiume na Kibamia litaondoka na wengi sana.
Waafrica cjui nani alituroga hili suala la nguvu za kiume na kibamia sometime wanawake wanatumia kutufedhehesha kwa makusudi tu ila halina uhalisia to that extent, ni vile wanaona tupo sensitive na tunajaa sana pindi tukihusiswa na hivo vitu.
Sasa kwa uwezo mdogo wa kufikiri mwanaune wa kiafrica ataangahika hadi kuhatarisa maisha yake ili amunyeshe huyo mwamke yeye ni mwamba.
Yaani mtu akiambiwa wewe wa dkk 5 tu basi anaenda kutafuta vimbi la congo ili akae masaa mawili kifuani kwa mtu, na hapo michubbuko ndio hikwepeki na maambukizi ya magonjwa ndio hushamiri.
Tafadhari wanaume tuache kujihangaisha na hii jinsi ke, kumbuka tu raha ya mwisho ya te ndo ni kufikishana kileleni no matter umetumia dkk 3, 5 au 10. It is not health kushindana na papuchi.
Mwanamke unaeza enda nae vzr akikuchoka kitu anachojua akikutukana na kitakuingia ni una kibamia au huna nguvi za kiume au humridhishi, kijana usipanic relax kuna utakaeendana nae.

Mkuu mwanamke akisema fulan ana kibamia inawezekana maungo yake ndo makubwa,tena kupita kiasi & vise versa
 
Ni kweli kabisa.
Umalaya ndio chanzo cha haya yote. Imagine mwanamke ameanza uhsiano na mwanaume mmoja na akadumu nae, ni lini atajua kama kun kibamia na big size.
Kiukweli maumbile ya me na ke hayawezi kufanana kwa size na hiyo ni tangu enzi za mababu. Ila sasa hivi inaonekana tatizo sababu ya umalaya.
Mwanamke ukidate na wanaume 5+ lazima u come up na hoja za kibamia coz wote hawawezi fanana size.
 
Back
Top Bottom