Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Lisu ni pepo 2015 alitamka wazi kuwa chadema iko tayari kushirikiana hata na Shetani kama atawasaidia kushika dola alipoulizwa kwa nini wamempokea Lowasa waliyemwita fisadi kugombea uraisi Chadema
Mwaka huu naona wako na ibilisi.
 
Ndiyo maana hawatoi ajira ili muendelee kuhidhuria mikutano.

Mkiwa na majukumu wote nani anahudhuria mikutano.
 
Kumbe ndiyo maana mkoa huo kuna umasikini wa kutupa. Mama zenu a baba zenu nyuso zimekunjamana kwa omba omba hata aibu hamuoni.
 
Hoja yako inapata UDHAIFU kwa hiki kipindi.
Viongozi wa siasa ndio wameshikilia uchumi na kila jambo linaloendelea.
Wao ndio watungaji wa sheria zinazotuongoza katika shughuli zetu zote.
Siku za kampeni ni 60 tuzitumie vizuri tupate wawakilishi wazuri bungeni.
 
Wazee wa mji wa bagamoyo, wanaongea haya maneno utasema wana cha maana, kumbe wapo wanakunywa gahawa, halafu wanathubutu kumkejeli Rais mtarajiwa... wana hali ngumu sana
 
Memba una Habari zisizo sahihi. Kuna Makala zimesoma chopa imezuiliwa kuruka. Nani mkweli kati yako na wale.
 
Hatuhitaji kukusanyika ili kumsubiri mgombea sisi ni wenyeji halisi wa eneo husika atakapofika tu tunafurika wanaosubiria mgombea tangu asubuhi uwanjani ni wale waliosombwa ba malori hivyo wanalazimika kukaa barabarani au uwanjani ili kumsubiri kwani wanakuwa hawana pa kwenda ukizingatia ba vyuma vimekaza😁😁😂😁😁😂
 
So laana ya umasikini wetu ilianzia pale
 
Nadhani sasa hivi utakuwa unaelewa nilichokisema. Hapo nilikuambia hao wa akina lissu hawakufika kabisa
Jibu la kishweitani hili; kwamba hata Lissu na viongozi husika hawakuwepo?

Basi huo uwanja haukuwa na tukio lolote
 
Mara moja kwa miaka 5 Kuna shida gani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…