Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Mleta mada upo ghetto na msela wako,unadanganya umma kuwa upo kwenye mkutano wa CHADEMA Bagamoyo.
Jiangalie bibie hukuunguza dagaa wa lunch?
 
Ukiendelea hivi unaweza kuwa mtunzi mzuri. Fala wewe

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mjinga, nulichokieleza ni kuwa hadi hoyo saa 5 kulikuwa hakuna watu kabisa uwanjani, na hao watu wamejuaje kama lissu hatafika? Ilibidi watu wafike alafu ndio baadae waambiwe kuwa chopa imezuiliwa, alafu kutoka dar hadi bagamoyo ni karibu sana kwa gari, si angeenda na gari?
Yaani hata mambo ya uongo mna amini? Lissu helkopta imezuiliwa kuja kutua hapo eneo la mkutano. Na sio kweli kwamba ameshindwa kuhutubia kwa kukosa watu. Mleta mada ni mjinga asie mfufuatiliaji wa mambo
View attachment 1565323
 
Hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa, Kaja bhana, mida hii, Hadi anataka kuvunja Sheria za uchaguzi, kaingia saa 12 kasoro

Watu kapata
 
Wewe acha Uongo, hayo mashamba kwanza hayakurudishwa kwa wakulima kutoka kwenye uongozi wa magereza....Nalijua jambo hili kindakindaki na mzee wangu ni mmoja wa watu waliokuwa wanalima kwenye sehemu hiyo ya magareza(Masagani) wali-stop kulima since 2012 mpaka leo hakuna anayelima... Alafu kuhusu barabara ilikuwa ni kitambo tu tangu azindue hiyo barabara na kufungua hilo daraja la kariakoo(mtoni).

Watu bado wanachuki nae,Afisa Uvuvi alisimamisha shughuli za kuvua kwa wavuvi kisha wakazuia nyavu za nchi 2 na kusema hazitakiwi na waliokuwa wanavua ni madau ya usiku ambayo hayazid 10,..wavuvi walisota takribani miezi miwili pasi ufumbuzi wowote.

Acheni kudanganya watu..Tangu hiyo 2016 aliyokuja kufungua hiyo barabara ni lini alifika maeneo ya bagamoyo iwe kata ya Dunda,Nianjema au magomeni kuja kuhutubia au kukutana na wananchi wake.

Utawala wa Magufuli JP umewaumiza watu kila pande,kama kina sisi tuliositishiwa Fao la kujitoa ili hali wengine tumefukuzwa kazi since 2017.
 
Kwanza wewe huna hata kazi, unaishi kwa shemeji...
 

Wananchi wa bagamoyo kumbe ndiyo walionyima Chopa kibali?

Kumbe wanabagamoyo ndiyo watoa ruksa za madege kuruka?

Kweli nimeamini hapo Lumumba mmeshikiwa akili kama akili zenu si za kuku.
 
Kila mtu anautaratibu wake kujaza uwanja nilichokiona kweny kampeni za chadema watu wanajaa pale ambapo mgombea anafika sasa nyinyi endeleeni kupiga picha za asubuhi
Kwenye kampeni za ccm tafuta ile video ujionee mwenyew mabasi yote yaliamia ccm kirumba kila sehem mgombea wenu anakopita kingine naina kundi kubwa la watoto waliozuiliwa kwema shuleni siku hiyo
 
Aache uvivu, mbona JPM anazunguka karibia kata zote za mikoa na anatumia usafiri wa nchi kavu? atembee aone shida za wananchi ndo ajue kwa nini Magufuli anajenga miundombinu sio kuponda tu bila kuonja machungu ya ubovu wa miundombinu.
 
Tatizo Ni yeye kusema ukweli auπŸ€”?
Kwahiyo ili asionekane mataga, ulitaka asifie kwamba kulikuwa na watu wengi au πŸ˜‚πŸ˜‚?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…