Uchaguzi 2020 Bagamoyo msirudie mlichokifanya kwa CHADEMA leo

Chukua boda boda uwahi hapa Lumumba uje uchukue buku saba yako.
Tunapenda vijana wabunifu na wenye propa kama wewe,,, na kuanzia leo umeingia Rasmi kwenye malipo ys buku saba kila siku.

MATAGA
Kuna jamaa yangu pale nasikia wameongezewa sasa hivi wanakula elfu kumi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bagamoyo walichofanya sijakipenda, ni kitendo kinachopaswa kupigwa vita kwa nguvu zote

Mikutano hiyo ni hiari, sasa la uungwana liko wapi. Kwa nini mtu apoteze muda kwenda kumsikiliza Magufuli kama yeye hakubaliana na sera za Magufuli, vivyo hivyo kwa nini mtu aende kwenye mkutano wa Tundu Lisu/CHADEMA kama yeye hakubalina na siasa/sera za Tundu Lisu/CHADEMA. Komaaeni na kukubali ukweli, hata kwa Magufuli hawaendi wote, ama sivyo miji isingepitika siku hizo.
 
Umejaa ujinga
 
hakuwa na hela ya mafuta sasa ulitaka aje na daladala au atembee?
 
JF imekuwa si ile ya great thinkers! sijui moderators mtafanya nini Angalia hii ya Bagamoyo
 
 
Chukua boda boda uwahi hapa Lumumba uje uchukue buku saba yako.
Tunapenda vijana wabunifu na wenye propa kama wewe,,, na kuanzia leo umeingia Rasmi kwenye malipo ys buku saba kila siku.

MATAGA
Mwambie boda ntalipa mimi haijalishi anaatokea wapi 😉 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…