Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

OK nashukuru kwa kunifungua.....kwaivo hapo tuseme mke wa marehemu labda ndugu washajua mipango yake pengine hata kifo cha ndugu yao kina utata! Mwanamke hataki kaburi la mumewe! Inamaana ameshajaa tamaa ya mali anaweza hata kuua
 
Yeye na ukoo wake wote washenzy sana
Mwanamke hawezi kuwa na tabia za ovyo za kujulia mjini. Yani ni mambo yanaanzia kwenye familia zao kwenye malezi. Unaambiwa ndugu wa mke wote walijificha hawajazikaa
Aseehh...huzuni sana !!hawawajui Wachaga hao wamekutana na miamba Sasa
Ukiona hivyo shida ilianzia ktk familia ya mwanamke ndo maaana ila kajidhalilisha mnoooo
 
Akataka kwenda kuzika Kilimanjaro?
Kutaka kwenda kuzika Kilimanjaro sio kwamba alimpenda sana "mumewe"; bali angezikwa hapo nyumbani ingemwekea kauzibe kuuza au kutumia nyumba na eneo jinsi apendavyo!

Bahati mbaya kwake (mdada) walishamstukia wakaamua kumzika marehemu hapo ili kutibua ill motives zake! Got it?
 
Hii issue ina story mdefu kdg mke ni shangingi la town hakutaka mwili uzikwe pale ili auze nyumba na mme aliacha usia azikwe hapo
... wengine humu wameitafsiri hii story wrongly; kwamba mke alimpenda mumewe hivyo alitaka akazikwe Moshi kama kawaida ya hao jamaa. Kumbe ni kinyume; kutotaka mumewe azikwe pale ni kuondoa "uchafu" ili awe huru na shamba na nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…