Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Uislam mwema sana, unapokufa ndipo unapozikwa.

Ikitokea utata wenye maamuzi ni warithi.
 
Kila mtu kwa wakat flan kwenye dunia hii huwa ana roho mbaya. Sasa unajua kilichotokea? Yule mwanaume baada ya kuoa anataka kufukuza wanae aliozaa na marehemu mke wa kwanza ambaye yule marehem mali zote yeye ndo alichuma.
Hii dunia haina formula ndo maana watu wanawindana
Kama unaongelea case hii Basi inawezekana huyo mwanaume kapigwa bomu na watu tofauti, sio huyu mwanamke anayeishi nae
 
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Yani kuna mikundu sana Tanzania, chuki ambazo ukimuuliza vizuri sababu za msingi utakuta halina. Wangekuwa na tamaa si wangedanga kama kina hamisa na kajala waskuma wenzioo
 
Back
Top Bottom