Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Daah, nimevumilia uzalendo unaelekea kunishinda.
Tangu saa moja jioni niko Tangi Bovu, magari hayaendi, watu wanatanua na magari yao 😠ðŸ˜
Kidogo wamegongana halafu wanawasha hazards kuanza marumbano namna ya kutengenezeana magari na nani mwenye makosa.😠ðŸ˜
Wanazidi kuongeza foleni barabarani, yaani.
Hadi mida hii hata Africana sijafika. Halafu matrafiki hawaonekani barabarani.
Mlioko mbele Bagamoyo road kuna nini huko, nimechokaa nna usingizi kama teja.
Uzi tayari.
Matata the K.