Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee pole bado uko barabaran tu?Jamani mwenye kujua trafiki waje kuwazuia hao wanaotanua tukalale.
Taarifa za punde ni kuwa lori lishaondolewa darajani foleni ya sasa ni watu kuchomekeana na kutanua.
sijajua Ila mi ndo nakaribia bunju sasa Toka saa 2 usiku.Haya malori yanayoharibika barabarani utadhani yametumwa vile. Lkn pia najiuliza likisukumwa haliendi?...ili lisogezwe pembeni
Santeee. Pole sana
Toka saa 2 usiku hadi saa 6 bado uko barabarani!!¡!!!!!!sijajua Ila mi ndo nakaribia bunju sasa Toka saa 2 usiku.
kwa mtu anayetumia usafiri wa uma ni rahisi kidogo Mana anaweza unga na boda Ila Kama una private [emoji3525][emoji3525] agiza chips ule Mana hata kwenye vituo vya mafuta unaomba kulaza gari lakini wamekataa
Duu masaa 4 barabarani??? Pole sana Mimi nilipita ununio, chini kwa chini mpaka Moga!! Kule kulikuwa kweupeeeesijajua Ila mi ndo nakaribia bunju sasa Toka saa 2 usiku.
kwa mtu anayetumia usafiri wa uma ni rahisi kidogo Mana anaweza unga na boda Ila Kama una private ☹️☹️ agiza chips ule Mana hata kwenye vituo vya mafuta unaomba kulaza gari lakini wamekataa