Tukiwaambia mje kitunda na kivule huku mnasema kwa washamba... huku foleni ni ndoto.. maana tukivuka fly over tu ya tazara tumeshafika home
Bora umetoa taatifa, foleni ikiisha nishtue, pole sana Kasie
Kuna lori limeharibika boko kwenye daraja so kupishana hapo darajani ni shida
Tukiwaambia mje kitunda na kivule huku mnasema kwa washamba... huku foleni ni ndoto.. maana tukivuka fly over tu ya tazara tumeshafika home
Vipi kutoka mbezi kuelekea mwenge nako magari hayaendi?Yaani kupaki pembeni kusubiri foleni iishe sitaki maana nimechokaa....
Wakati huo huo nakuwa na tension barabarani maana watu wanachomekeana na kuleta vurugu tuu.
Usijali mwaya ikifunguka foleni ntakwambia.
Haya malori yanayoharibika barabarani utadhani yametumwa vile. Lkn pia najiuliza likisukumwa haliendi?...ili lisogezwe pembeniKuna lori limeharibika boko kwenye daraja so kupishana hapo darajani ni shida
Barabara ya Makongo Goba na Goba Madale Tegeta pengine zitakuja kupunguza foleni Mwenge Tegeta.
Sasa wote tukija huko.si ndo.foleni itahamia.huko?Tukiwaambia mje kitunda na kivule huku mnasema kwa washamba... huku foleni ni ndoto.. maana tukivuka fly over tu ya tazara tumeshafika home