Bagamoyo Road kuna nini leo, mbona foleni kubwa sana?

Jamani mwenye kujua trafiki waje kuwazuia hao wanaotanua tukalale.

Taarifa za punde ni kuwa lori lishaondolewa darajani foleni ya sasa ni watu kuchomekeana na kutanua.
 
Demi nimepita ununio kweupeee.

Usiku mwema.
 
Haya malori yanayoharibika barabarani utadhani yametumwa vile. Lkn pia najiuliza likisukumwa haliendi?...ili lisogezwe pembeni
sijajua Ila mi ndo nakaribia bunju sasa Toka saa 2 usiku.
kwa mtu anayetumia usafiri wa uma ni rahisi kidogo Mana anaweza unga na boda Ila Kama una private ☹️☹️ agiza chips ule Mana hata kwenye vituo vya mafuta unaomba kulaza gari lakini wamekataa
 
Toka saa 2 usiku hadi saa 6 bado uko barabarani!!¡!!!!!!

Poleni sana, poleni sana.
 
Duu masaa 4 barabarani??? Pole sana Mimi nilipita ununio, chini kwa chini mpaka Moga!! Kule kulikuwa kweupeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…