Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mkuu, kwani na wewe ni shabiki wa Yanga?Wewe eneo lako unasema mwenyewe au inakusemea serikali na je serikali haimiliki ardhi? Sasa kwa nini SMZ isiseme kama eneo fulani wanalimiliki wao na hatimiki wanayo!
Mamlaka sio MTU binafsi! SMZ haina hiyo jurisdiction! Kwanini wasingepitia proper channels kama serikali?
Bakhresa, yeye ndo atangaze kisha kama kuna mgogoro, JMT inaamua kupitia vyombo vyake! Sasa kweli SMZ iwe kama Bakhresa?
Mwisho, nimekuuliza, sheria inasemaje kuhusu kuiacha ardhi kwa zaidi ya miaka 10 bila kuiendeleza?