Bagamoyo yajengwa kuwa kama Shenzhen ya China, kitovu cha viwanda na uwekezaji

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20261005-WA0007(1).jpg

Bagamoyo inaandaliwa kuwa kituo muhimu cha viwanda, biashara na ajira kupitia Bagamoyo Eco-Maritime City, huku Serikali ikilenga kutumia fursa za uchumi wa bahari kuimarisha uwekezaji, kuongeza ajira na kukuza shughuli za viwanda katika eneo hilo.
 
View attachment 3684562

Maneno ya porojo meeeengi vitendo sifuri.

Bandari ya Bagamoyo mpaka leo inasuasua haieleweki ujenzi rasmi unaanza lini halafu unakuja na porojo za Bagamoyo kuwa kama Shenzhen.

Hiyo Dar tu haijaifikia hiyo Shenzhen ndo iwe Bagamoyo.

Acheni kuleta siasa za hovyo kwenye maisha ya watu.
 
Ni chawa lililokubuhu hilo linajulikana. Uwezo wa kufikiri ni negative plus 🚮🚮🚮
 
1791217636492.png

1791217461762.png
 
Mama Samia kwenye maendeleo hacheki na nyani
 
Sawa lakini sio hilo jiji la Mchina jamani
Tujisifu wenyewe ila tusijifananishe na hao
Wenzetu mpaka kufika huko wame sacrifice sana kwa mambo mengi

Taratibu wazee
 
Ntaigeuza Kigoma kuwa Dubai- Mzee JK.
 
Huwezi sema mji wa bagamoyo uwe kama mji Fulani wa sehemu njingine Dunia.

CCM ni muhimu kizingatia mipango miji ya kisasa.
Ilani ya chams na dirq ya 2050 ni lazima zi implement mipango miji ya kisasa by your owns
 
Back
Top Bottom