Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Maneno ya porojo meeeengi vitendo sifuri.View attachment 3684562
Bagamoyo inaandaliwa kuwa kituo muhimu cha viwanda, biashara na ajira kupitia Bagamoyo Eco-Maritime City, huku Serikali ikilenga kutumia fursa za uchumi wa bahari kuimarisha uwekezaji, kuongeza ajira na kukuza shughuli za viwanda katika eneo hilo.
Ni chawa lililokubuhu hilo linajulikana. Uwezo wa kufikiri ni negative plus 🚮🚮🚮Maneno ya porojo meeeengi vitendo sifuri.
Bandari ya Bagamoyo mpaka leo inasuasua haieleweki ujenzi rasmi unaanza lini halafu unakuja na porojo za Bagamoyo kuwa kama Shenzhen.
Hiyo Dar tu haijaifikia hiyo Shenzhen ndo iwe Bagamoyo.
Acheni kuleta siasa za hovyo kwenye maisha ya watu.
Rais Samia, Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
Rais Bora kwakoRais Samia, Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
Yeah let's wait and see!