Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

kwenye amsha amsha wenzake wanakunywa bia yeye anakunywa crate 1 na nusu la soda.
ila alicontrol ikaisha kabisa

Hadi mother wake alikuwa anamkataza alikuwa kwa siku anakunywa soda 6 kwenye function anakunywa soda 20.
 
huyu hapa...ila now anatangaza E.FM
 

Attachments

  • 1410200993747.jpg
    1410200993747.jpg
    71.9 KB · Views: 458
attachment.php

Ni kitu gani kilchokufanya mpaka ukatafuta dawa za kupungua? Ni Diabetes? Obesity? Kibamia coz ya ubonge? Poor performance on bed due to ubonge?
 
Back
Top Bottom