Bagia za dengu maziwa na mayai

Bagia za dengu maziwa na mayai

Mkuu nakumbuka mara ya mwisho ulisema ngoja uniignore nikaona umefanya busara lakini ukufanya ivyo naona matusi kama haya sio vyema kutukana kwa mtu usie mjua kama uwezi basi jitahidi ata kidogo kuchunga kinywa kisitoe matusi
Sema mzee mwanzoni hii ID ilikuwa na avatar ya kike hata mimi nilikuwaga najua ni jinsia KE mpaka hapa juzi tu.
 
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa

Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha



Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike
Nikaandaa karoti na hoho
View attachment 3239436
Kisha nikachukua unga wa bagia nikaweks kwenye chombo
View attachment 3239441
Baada ya hapo nukaweka karoti na hoho na kuchanga vizuri
View attachment 3239445
Kisha weka maji kidogo kidogo uji wako hakikisha uji wako haui mzito sana wala mwepesi sana kama hivi
View attachment 3239449
Kisha weka kwenye mafuta tia kidogo kidogo mimi nilitumia kijiko wengine wanatumia mkono kuweka kwenye mafuta moto weka mdogo kabisa ziive pole pole
View attachment 3239453
Baada ya hapo nikachemsha maziwa na mayai sehemu mbilintofauti now nakula karibu
View attachment 3239455
Ulie omba mkate wa mchele kesho nitakupikia muda kesho ninao wakutosha kabisa ila Mama Mwana mkate wako unao utaka ule mgumu kidogo na ugumu unakuja pale jinsi ya kuuoka pia hakuna walaji hapa kwangu
Nataka nije nioe mwanamke anaepika ivi
 
Sijaoa ila chuo nilishawai kuwa na girlfriend ambaye hajui kupika nilikuwa sishibia nakula kumlidhisha tu ikawa akisema anakuja. Anakuta nishapika kazi yek inakuw kuosha vyombo na usafi basi
Hata gf asiejua kupika nilikuaga nae, huwa hawajiamini hao watu kwa kutojua kwao kupika.

Akakutana na nunda ambae mapishi naunga unga tu, ila tulikua tunakula ivoivo Mungu saidia siku ipite.
 
Back
Top Bottom