bahadhi ya meno ya mbele kuwa marefu..

bahadhi ya meno ya mbele kuwa marefu..

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
habar madaktari na wauguzi wa JF,
Nina shida ya meno yangu ya mbele kw pembeni, ya juu na ya chini kuwa marefu kama ya mnyama anaye kula nyama[canviorus] kias kwamba yana ninyima balansi ya taya zangu.inatokana na nn na nifanye nn ili yawe sawa?
 
Back
Top Bottom