Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,557 Reaction score 1,787 Feb 4, 2013 #1 habar madaktari na wauguzi wa JF, Nina shida ya meno yangu ya mbele kw pembeni, ya juu na ya chini kuwa marefu kama ya mnyama anaye kula nyama[canviorus] kias kwamba yana ninyima balansi ya taya zangu.inatokana na nn na nifanye nn ili yawe sawa?
habar madaktari na wauguzi wa JF, Nina shida ya meno yangu ya mbele kw pembeni, ya juu na ya chini kuwa marefu kama ya mnyama anaye kula nyama[canviorus] kias kwamba yana ninyima balansi ya taya zangu.inatokana na nn na nifanye nn ili yawe sawa?