Bahari imechafuka

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Haiitwi Bahari bila maji,kutokana na Maji kila kitu kikawa hai. Naam nasema tena kikawa hai.

Tunaambiwa Baharini kuna jinsi ya viumbe vingi sana kwa idadi kushinda huku bara. Naam tena wengi hasa.

Kupitia Baharini, vyombo vikubwa huambaa na kubeba shehena ya mizigo mingi na mikubwa kuzidi njia nyingine yoyote. Huu ni ukweli usio na shaka.

Ila hakika hali wa shani hivi punde Bahari itaonya. Nasema tena Bahari itaonya.

Sasa Bahari imechafuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…