Amani iwe nanyi mabaharia
Nimewaita kwa kikao cha dharula.
Naomba tuwekane sawa mabaharia.
Kwa hizi siku chache kumetokea mabaharia fulani ambao wanaharibu chama chetu kwa kuwamiminia wachumba zao shaba.
Baharia ukiua unakua umekiuka katiba, katiba ya Mungu, ya Rais Magufuri na yetu sisi mabaharia hairuhusu kuua.
Sasa basi mabaharia wenzangu ni marufuku kwa baharia kusomesha mwanamke.
Kitendo cha baharia kumsomesha mwanamke unakuwa tayari ushajivua kwenye chama maramoja.
Mwanamke hasomeshwi baharia.
Kusomesha ni jukumu la mzazi.
Baharia mwanamke msomeshe cherehani au mafundisho ya dini.
LONDON BOY